Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,747
- 290,595
mchana huu M/kiti wa serikali ya mtaa wa Kurasini Mivinjeni ambaye pia ni kada wa ccm MASHAKA MGAYA, anagawa NOTICE YA SIKU SABA kwa wakazi hao kuhama kwenye nyumba zao kabla TINGATINGA halijatumika kuwafurumusha ! Ikumbukwe kwamba Wizara ya ardhi kupitia Mh .Tibaijuka ilisitisha mpango huo mpaka itakapotangazwa tena , Baada ya kubaini magumashi kibao , SWALI la kujiuliza , WHO IS BEHIND THIS ?
Huyo mwenyekiti vipi kwani watu wameshalipwa fedha zao au kalewa huyo
nchi kiboko kwa rushwa!! na wasipokuwa makini watavunjiwa kweli maana mzigo upo mifukoni mwa watu tayari.Taarifa za kiuchunguzi zinadai kuwa kuna MWARABU mmoja mwenye MALORI YA MIZIGO aliyeko jirani na eneo hilo ametamani kuongeza eneo la kupaki magari yake , hivyo ameweka mzigo kwenye meza ya halmashauri ya Temeke kiasi cha kuwachanganya hadi kupuuza amri ya wizara . CC Anna Tibaijuka .
nchi kiboko kwa rushwa!! na wasipokuwa makini watavunjiwa kweli maana mzigo upo mifukoni mwa watu tayari.
Mchana huu M/kiti wa
serikali ya mtaa wa Kurasini Mivinjeni ambaye pia ni kada wa CCM
MASHAKA MGAYA, anagawa NOTICE YA SIKU SABA kwa wakazi hao kuhama kwenye
nyumba zao kabla TINGATINGA halijatumika kuwafurumusha !
Ikumbukwe kwamba Wizara ya ardhi kupitia Mh .Tibaijuka ilisitisha mpango
huo mpaka itakapotangazwa tena , Baada ya kubaini magumashi kibao.
SWALI la kujiuliza, WHO IS BEHIND THIS ?
Taarifa za kiuchunguzi
zinadai kuwa kuna MWARABU mmoja mwenye MALORI YA MIZIGO aliyeko jirani
na eneo hilo ametamani kuongeza eneo la kupaki magari yake , hivyo
ameweka mzigo kwenye meza ya halmashauri ya Temeke kiasi cha
kuwachanganya hadi kupuuza amri ya wizara . CC Anna Tibaijuka .
waarabu walikukosea nini? mbonq wachina ambao wamepewa mkataba wa kujenga kituo chao eneo hilo huwataji. au ndo umbumbumbu wa viongozi wenu umeenea mpaka kwa wafuasi
Wakati mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa busy kwa mambo ya maendeleo, mwenyekiti wa CHADEMA Rorya, Bw. Godfrey Masirori yeye alikuwa busy kwa uzinzi.
CDM ni janga la kitaifa.
Wakati mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa busy kwa mambo ya maendeleo, mwenyekiti wa CHADEMA Rorya, Bw. Godfrey Masirori yeye alikuwa busy kwa uzinzi.
CDM ni janga la kitaifa.
uzi huu una uhusiano gani na cdm mkuu ?
Kama umelipwa na ukakubaliana kwanini usisepe?
Mama anatibaijuka anaweza kulitolea hili ufafanuzi wa kina, hata kama hata jibu hapa leo lakini wa sababu anapita pita humu nnaamini wahusika watashughulikiwa tatizo lao, maana viongozi wengi wa chini siwaamini wakipewa hela kidogo huchanganyikiwa.Tibaijuka kwapani????
Wakati mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa busy kwa mambo ya maendeleo, mwenyekiti wa CHADEMA Rorya, Bw. Godfrey Masirori yeye alikuwa busy kwa uzinzi.
https://www.jamiiforums.com/habari-...i-wa-chadema-rorya-kizimbani-kwa-ugoni-4.html