mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 6,499
- 18,166
Haya majanga ya kiasili kama maporomoko ya ardhi, matetemeko ya ardhi ,tsunami pamoja na vimbunga vya msimu kwa kiasi kikubwa huangamiza idadi kubwa ya watu..
Sisi tutaendelea kujifariji na kuzaana KAMA BAKTERIA kwamba kila mtoto anakuja na sahani yake, lakini tukumbuke Asili nayo hutukumbusha kwamba sisi ni wanadamu tu. Kila uchwao tafiti nyingi hufanyika ili kujikinga na majanga ya asili lakini wapi.
Japan huko wanataka kujenga ukuta mkubwa kuzunguka baadhi ya visiwa vyake ili kujikinga na janga la Tsunami, lakini hili sio suluhisho la ku battle na Nature. Yote haya tunayafanya tukiamini tutazaana tu na mambo yataenda kama tunavyotaka..
Tukumbuke Rasilimali ni chache hivyo lazima tupunguzwe na Asili ili kuwe na usawaziko wa kiasili(Balance of nature) . Ni kweli inauma na kuhuzunisha tukiona wanadamu wenzetu maelfu kwa maelfu wanakufa kwa majanga lakini tutafanyaje sasa Pale asili inapoamua kufanya kazi yake ya asili?