Majanga: Nimemtongoza msichana wa rafiki yangu

Majanga: Nimemtongoza msichana wa rafiki yangu

Acha na hiyo kitu kuna kitu inaitwa KARMA ipo maishani mwako ,baada ya mwaka utakuja na uzi ''nimemfumania mchumba wangu siku mbili kabla ya ndoa ''
 
Nina rafiki yangu wa kiume tumeshibana sana kiasi kwamba changu chake chake changu.

Wik 2 before, aliniita hotel moja ili anitambulishe kwa msichana wake mpya (ingizo jipya ) aseee msichana ni kifaa akanitambulisha, mtoto mtoto kweli wowo ipo pia ya kutosha nikashindwa kujizui mtoto wa kiume coz niliona kama upele umefika kwa mkunaji na ndiyo maradhi yangu.

Nikawa nimechukua namba za simu kwa shemela but after 2days kamtongoza msichana akanipotezea but nikamsisiza jamaa asijue kama nimekuomba mambo, then kwa hasira nikaifuta namba yake.

Jana mida ya saa9 jion mtoto mwenyewe ananipigia simu na anasema amenikubalia ombi langu but nae anasema brother asiijue.

Naombeni ushauri, niivimbishe au nimpotezee?
Policy yetu wanaume ni msichana hawezi kua sababu ya ugomvi wetu. Siku mshkaji anajua je? Mi huwa demu akishatokewa na mshkaji wa karibu nafuta na namba kabisa maana vishawishi ni vingi jombaa
 
Jiandae
1. Kutokuwa marafiki tena.
2. Kupigana na rafiki yako
3. Aibu kubwa baina yako na rafiki yako, pia aibu kati yako na demu wa mshikaji wako ikiwa jamaa atawajua.
4. Kufumaniwa muda wowote.
 
Samahan kwa kutoka nje ya mada,

Naskia Maumba katoka.....
Binafsi nahc wana lengo la kumtoa.
 
Tuko tunatafakari haya kama taifa...

1. Kauli za rais za upendeleo wa kikanda hasa kuchagua wa kubomolea nyumba

2. Data za kupikwa na hali mbaya ya uchumi

Sasa huu upuuzi wako peleka unapopajua for the time being, haya yakiisha ndio ulete hapa sawa??
 
Usipende kufanyia wenzako kitu usichopenda kufanyiwa...IPO SKU utachapiwa mkeo ..karma is not a liar she keeps receipts...
 
Back
Top Bottom