#10 lazima wakuboe hao mrembo wanakukosesha fursa hao,Plz come to me,I will be there for you!Utumiaji wa maji mengi
Kuongeza vitu vitu katika maeneo fulani fulani ya mwili
Ongezeko la 'Vibomu'kwa wadada kwenda kwa wakaka, sereneti boys kwenda kwa mama zao(mapenzi ya 20's+60's)
#10 ndo wananiboa zaidi apo