Majanga haya sasa mengine

toa fedha, ukiambiwa jambo la fedha mbupu zinasinyaa! acha majinga. acha ubahiri unless huna hiyo fedha.
 
dahh unajiskiaje labda unapofanya hvyoo?
Ndio maana hatupendi wanawake waliozaa, sasa hayo mambo ya tuzae mwingine na twende club mnayaongeleaga wapi
yaani kabisa kabisa anaenda nae na club!!dahhh
Baba mpya anabeba majukumu yote, sasa huyu baba mtoto una sababu gani ya kukutana nae bar?
nashindwa kumuelewa hv akiachwa utasema ana gundu?!!
Hivi siss umekielewa ulichoandika? Umenisononesha hata mie mwanamke mwenzio!
Sorry to say that!
me too my dear yaani...!!!
 
Ona sasa..! Then uniambie nioe mdada alozalishwa na kidume mwingine..! Khaa....jamaa likija Dar linamega kiulani, huku jamaa na kipato chake kidogo analea malaya..!
Pumbafu kabisa..!
hajielewi huyu mdada
Naomba niongezee tusi hapo...huyo dada pumbavu kabisa...amenikera sana mkuu

yani hana huruma ht kidogo
 
umenisikitisha sana lakini maisha yanaendelea
 
Wewe dada ungekuwa mke wangu nahudumia wewe na mtoto wako halafu nikufume upo klabu na zilipendwa wako mnapasha kiporo moto nyote mnatangulia mbinguni(kama mnastahili)...

Ujinga gani huu unaongea mbele yetu, umenikera mno wewe mwanamke!

Unaeza kuta ndio maana jamaa kamzalisha tuu. Na akija anamtumia kama chombo cha starehe tuu koz ameona upuuzi wake.
Kabisaaa anaandika upuuzi huu.
Thank God fot the second chance umepata dada
 
Usitoe hiyo ada, huyo bidada hana akili kabisa khaa!!!! anawezaje kuainisha matatizo ya mtoto wake kwako wakati baba yake yupo hai, STUPIDY!!!!!!!!
sijui wa wapi huyo dada, alikosa mbinu nyingine ya kukuombea hela, angeomba yeye kama anatatizo, hata angesema mama yake anatatizo ila moyoni anajua akipata analipa ada ya mwanae.
Mwanaume kukubali kumuhudumia mtoto sio sababu ya kuainisha matatizo ya mtoto macho makavu, hawa nao wana mioyo ya nyama sio chuma bhana, inafika wakati wanachoka au kukereka. sasa ukitaka kuzuia hilo siku zote muombe hela wewe binafsi then kamuhudumie mwanao isipokuwa labda akupe yeye mwenyewe na akwambie ni za mtoto. wanawake tusiwe watu wakujisahau jamani, ona sasa bidada anamwagwa kwa ujinga tu, je akimpata ambaye hataki hata kusikia harufu ya mtoto wa kambo si atajuta sana huyu dada. kanikera sana
 
hahaaha hope this was ment to be a jok... daaah mechekaje:flame:
 

MY hii mbona inaukakasi sana. umezaa, bado upo nyumbani, huyo ex nakuja kukuenjoy unachekacheka nae khaa!!! kama alikuwa anataka muendelee kwenda club si angekuvuta ndani ili mtoke out huru. hujui kuwa anakudharau sana ndio maana anakwambia mzae tena, amekuona wewe ni wakuzalishwa na kupewa vihela mbuzi, hakyamungu dunia inamambo.
wenzio mtu akikuacha hivo hata kama anamuhudumia mtoto bado unatamani hata utie bisibisi ya tumbo wewe unacheka nae. siamini kama unachosema umemaanisha, utakuwa umetania tu wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…