Majanga haya sasa mengine

Afadhali ninaye kuboa kuliko wew unaeniangusha au huelewi maana ya kupenda boga na ua lake hahaaaaaa mkuu uliyataka
hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa jembe la afrika linaogopa mizinga
 
Hivi siss umekielewa ulichoandika? Umenisononesha hata mie mwanamke mwenzio!
Sorry to say that!
 
yaan inaonyesha wewe ni malaya tu,hicho ndo nin sasa.so what
 
Usisepe sababu ya ada unless uniambie umemchoka tu dada wa watu, kama unaweza msaidei kama huna just tell her kwamba huna, kama ni muelewa atakuelewa
hawezi nielewa matokeo yake nitakosa na papuchi
 
Mwanamama mjasiriamali huyo. Anaweza akawa anavuta fungu la kumuhudumia mtoto toka kwa mzazi mwenza na bado akachukua kwako vile vile.
Kama umekula papuchi na inalipa kama ya Zari Platinumz hudumia tu, kama hailipi sikushauri...
 
wanawake wamekuwa wasanii sana.
 
Mkuu UN husomesha watoto wa wakimbizi na wewe kama umejifananisha na UN basi huna budi kusomesha huku ukijuwa unamsomeshea mwanaume mwenzio
 
Ona sasa..! Then uniambie nioe mdada alozalishwa na kidume mwingine..! Khaa....jamaa likija Dar linamega kiulani, huku jamaa na kipato chake kidogo analea malaya..!
Pumbafu kabisa..!
 
Ona sasa..! Then uniambie nioe mdada alozalishwa na kidume mwingine..! Khaa....jamaa likija Dar linamega kiulani, huku jamaa na kipato chake kidogo analea malaya..!
Pumbafu kabisa..!

Naomba niongezee tusi hapo...huyo dada pumbavu kabisa...amenikera sana mkuu
 
Wewe dada ungekuwa mke wangu nahudumia wewe na mtoto wako halafu nikufume upo klabu na zilipendwa wako mnapasha kiporo moto nyote mnatangulia mbinguni(kama mnastahili)...

Ujinga gani huu unaongea mbele yetu, umenikera mno wewe mwanamke!
 
masai dada njoo uone hukuuuu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…