Majanga haya sasa mengine

Kweli wanaume mko tofauti mi mwanangu ana 5yrs now tangu ana mwaka mmoja na miezi mitatu anahudumiwa na baba wa kufikia kuanzia kula yake,vaa yake mpaka shule anasomeshwa na baba wa kufikia na baba yake yupo hai na ana kazi nzuri kuliko huyu babaake wa kambo anachojua yeye kutuma hela ya nguo za sikukuu tu na akija dar kumuona mwanae ananirubuni eti tuongeze mtoto wa kike hataki kuzaa na wanawake tofauti anapenda starehe akija ni twende club hela utakayotaka utapata ila akiondoka hakumbuki chochote kuhusu mtoto mi nipo kwetu ila namshukuru sana bwana niliyenae kwa matunzo mazuri ya mwanangu japo sijazaa nae
 

Kula kona waache wenye uwezo wao kutoa ni moyo co utajiri
 
Hivi ck hizi shule za msingi za vijijini wanalipa ada au tu umeamua kujitangaza kuwa unahudumia?
 
hata kama mi namtetea babake huyo mtoto yu wapi ? hata ndoa bado ameanza kutwishwa majukumu ya ada?
Kama huna bf/mume naomba nikuunganishe na dogo langu..teeeeh!
Umenena vema neddy, yeye ahudumie mtoto..kwani baba wa mtoto amekufa?
Kila mtu na abebe gunia lake la misumari bana...!
 

Ndio maana hatupendi wanawake waliozaa, sasa hayo mambo ya tuzae mwingine na twende club mnayaongeleaga wapi
 

Kama ya shigongo mwee. :-(
 

Baba mpya anabeba majukumu yote, sasa huyu baba mtoto una sababu gani ya kukutana nae bar?
 
Pumba.vu zake, ada shule ya msingi tena kijijini eti alafu anahudumia, hata 20000 haifiki

Kakudanganya nani??? Hivi unadhani ada za shule kwa shule binafsi zinategemea kama zipo mjini au kijijini?

Ama kweli kua uyaone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…