Majambazi watano wauwawa Arusha

Majambazi watano wauwawa Arusha

Ni kweli jana mida ya saa kumi na mbili jioni palirokea sintofahamu maeneo ya Pama bar kati ya polisi na majambazi.
Lkn hapa kuna walakini kidogo, polisi na jambazi wanajuana in and out na wanafanyaga kazi pamoja sintofahamu inatokeaga wanaporushana wakishafanya ujambazi(polisi na jambazi) au polisi akipewa taarifa tofauti kutika kwa aliyeibiwa.
Mfano:Aliyeibiwa anaenda polisi anasema nimeibiwa 200m cash money Tshs kumbe kaibiwa 20m, sasa kwa sababu polisi wanajua tukio mwanzo mwisho huwa wanaendaga kudai mgao kutoka kwa jambazi shida ndiyo inapokuwaga hapo otherwise jambazi akamatwe awe anataka kuwataja aliokuwa nao ambao wanakuwaga ni mapolisi, hapo polisi lazima auwe jambazi.
Asikudanganye mtu, polisi hauwi jambazi hivihivi hawa ni watu wanaotegemeana especially polisi anamtegemea jambazi kwa 90%.
 
Kwa nini polisi wanawaua na sio kuwa- confiscate ili wapelekwe mahakamani?
 
Back
Top Bottom