chuchumeta3
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 237
- 87
Leo asubuhi katika kijiji cha marumba wilaya ya tunduru mkoani Ruvuma .MAJAMBAZI watatu wakiwa na bunduki na mapanga walivyamia ofisi Mara tu malipo kwa wakulima wa korosho yalipotaka kuanza na kupora fedha na kutokomea.
Fedha hizo zilopelekwa jana chini ulinzi wa polisi zilikahifadhiwa Leo zilitakiwa kulipwa ndipo tukio likatokea Mara mtu wa kwanza akijianda kupokea.
Fedha hizo zilopelekwa jana chini ulinzi wa polisi zilikahifadhiwa Leo zilitakiwa kulipwa ndipo tukio likatokea Mara mtu wa kwanza akijianda kupokea.