Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
Kuna majambazi wamemwibia mama mmoja kiasi cha pesa alichokuanacho kwenye gari......mchezo ulikua hivi.....huyo mama alikua kwenye foleni mbele kidogo ya kituo cha chama, na nyuma kidogo ya kona ya mabibo ( Opp big braza ), Majambazi hayo yakiwana silaha, na piki piki tatu, alishuka mmoja, na kuvunja kioo kisha kumwonyesha huyo mama bunduki huku akimwamuru kumkabidhi pesa hizo kisha kupanda pikipiki na kutokomea kusikojulikana.. haijajulikana ni kiasi gani ila inaaminika ni kiasi kikubwa cha pesa...nawakilisha. source. mimi nipo eneo la tukio.