Tanganyika1
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 422
- 86
Ni habar zilizo tufikia hv punde zinasema majambazi sita yameuawa huko sekenke wilayani iramba katika mapambano makali na jesh la polisi. Majambazi hayo yalikua na silaha za moto ikiwemo smg iliyokutwa na risasi zaidi ya 100 na mabomu 6. Aidha kati ya majambazi hayo watano ni raia wa burundi na m1 ni mtanzania. Majambaz hayo yamenaswa kwenye mtego wa polisi kwa msaada mkubwa wa polis jamii. Source itv brkng newz.
Ni habar zilizo tufikia hv punde zinasema majambazi sita yameuawa huko sekenke wilayani iramba katika mapambano makali na jesh la polisi. Majambazi hayo yalikua na silaha za moto ikiwemo smg iliyokutwa na risasi zaidi ya 100 na mabumu 6. Aidha kati ya majambazi hayo watano ni raia wa burundi na m1 ni mtanzania. Majambaz hayo yamenaswa kwenye mtego wa polisi kwa msaada mkubwa wa polis jamii. Source itv brkng newz.
Mafisadi nao wangeadhibiwa hivyo ingekua safi sana!!
RIP to all of ‘em!!

Hebu tupate data za uhakika toka eneo la tukio, isijekuwa kama ya Zombe na wale wafanya biashara wa Mahenge!!!!!!!

Mafisadi nao wangeadhibiwa hivyo ingekua safi sana!!

RIP to all of em!!

siungi mkono watu kuuawa, hivi jeshi letu la polisi linashindwa njia ambazo wanaweza kutumia kuwanasa waarifu bila kuwauwa? Hii kasumba ndio inayofanya jeshi la polisi kuuwa raia hovyo hovyo. Kuuwa majambazi sio sifa bali ni ukosefu wa maarifa na mipango madhubuti ya kupambana na uhalifu. Shame on you mnaotetea polisi kuuwa majambazi.
hauwezi kumtisha kwa Mawe Adui aliyeshika Bunduki/
ni uchunguzi wa Kisayansi ambao haukufanikiwa/
kama Ng'ombe kula Nyasi halafu anatoa Maziwa/
Fid Q - Propaganda
Kwenye ufisadi hakuna polisi jamii wala taarifa za kiinteligesia?