mgangawaukoo
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 2,183
- 2,394
Fresh
Maneno kuntu kutoka kwa PM!
Kuna watu hawalali kuhakikisha Taifa linaanguka mbaya zaidi watu hao ni watanzania!
Ndio maana watanzania wanawashangaa hawa wanaojiita wanavarangatiTaifa huangushwa na dola ( vyombo vyote cya usalama na serikali yake ) na sio mtu
Ndio maana watanzania wanawashangaa hawa wanaojiita wanavarangati
That's the main issue . Walk your talk.Can you practice what you preach?
Katika hizo hela wanazolipia hilo deni zisitokane na kodi yetu maana hatukuwatuma wakanunue ndege.uzalendo ndo kufanyaje? haki zangu za msingi hunipi (mshahara, cheo, malimbikizo, etc) uzalendo nitaupata wapi? wewe mwenyewe anza na huo uzalendo kwa kunipa statutory rights zangu... Ila kutaka ACacia walipe makinikia na wewe hutaki kulipa 87bn yao, sio uzalendo hata kidogo. Dawa ya deni ni kulipa.
Wachungaji, wahubiri, manabii, mitume, maaskofu na watumishi wengine wa Mungu wameaswa nao kutoa fungu la kumi kwa Mungu. Mchungaji Thomas wa kanisa la Anglikana, akihubiri ibada ya pili inayoanza saa nne katika kanisa la Kiinjiri la kilutheri Tanzania, usharika wa Mji mpya Morogoro, Amesema baadhi ya watumishi wa Mungu wanashindwa barikiwa na wengine kulazimika kutumia nguvu za giza kisa wanashindwa kuwa waaminifu kwa Mungu kwa kushindwa kutoa fungu la kumi wakati wao ndiyo hasa wanawahimiza waumini wao kutoa fungu hilo kwa nguvu kubwa. Amesema kwa uaminifu wake kwa Mungu kwa kuwa mtoaji wa fungu la kumi, yeye kama mchungaji si masikini.Can you practice what you preach?