Katoa maagizo yapi mana wapemba kila kitu kupinga tuWaziri Mkuu Kassim Majaliwa hana mamlaka ya kuingilia na kutoa maagizo kwa mambo ya #Zanzibar yasiyo mambo ya Muungano. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na Katiba ya Zanzibar ya 1984 imeainisha waziwazi mamlaka ya Serikali mbili zilizopo." @MazruiNasso
View attachment 1329197
====
He has just done a favor. Mkija bara bungeni msianze kulialia. Zanzibar bado inahitaji uchumi sambamba na wa bara. Shida kuna watu wanafikiri maneno mengi ndio ujanja. Wamebaki wanaongea tu for centuries
Haya matusi makubwa kwa mamlaka ya zanzibar.Tanzania ni nchi moja tuu ya JMT, ina rais mmoja, rais wa JMT, ina jeshi moja la JWTZ na Amiri Jeshi Mkuu mmoja tuu, nani anakagua gwaride sio hoja hata ma RC wanakagua magwaride, issue ni unakagua gwaride kama nani?.
Siku za weekends, natoka na my small kid, namkalisha mbele yangu nimembeba yeye ana shika stearing na kuendesha, anafurahi na kujiona yeye ndiye anayeendesha!. Hivyo mtu kukagua gwaride mbele ya CinC kuna mpa furaha ya kujiona na yeye ni CinC, wakati in reality CinC ni mmoja tuu, the one and only!.
Kujifurahisha kwa u CinC rukhsa!.
P
Kweli Waziri Mkuu anayo mamlaka ya kusimamia utendaji Zanzibar lakini kwa shuhuli zinazohusu mambo ya MUUNGANO TUIbara ya 52(1) ya katiba ya JMT ipo wazi kabisa .The prime minister shall have authority over the control and supervision and excution of the day -to-day functions and affairs of the government of of the United Republic. Kwa kuwa Zanzibar ni zehemu ya JMT mamlaka ya kusimamia utendaji kazi huko Zanzibar anayo.
Mkuu Mayalla kwani Zanzibar si wana katiba yao? Na wanaifuata na tunaitambua? Katiba yao haimtambui Majaliwa. Inakumbusha lile sakata la Pinda.Tanzania ni nchi moja tuu ya JMT, ina rais mmoja, rais wa JMT, ina jeshi moja la JWTZ na Amiri Jeshi Mkuu mmoja tuu, nani anakagua gwaride sio hoja hata ma RC wanakagua magwaride, issue ni unakagua gwaride kama nani?.
Siku za weekends, natoka na my small kid, namkalisha mbele yangu nimembeba yeye ana shika stearing na kuendesha, anafurahi na kujiona yeye ndiye anayeendesha!. Hivyo mtu kukagua gwaride mbele ya CinC kuna mpa furaha ya kujiona na yeye ni CinC, wakati in reality CinC ni mmoja tuu, the one and only!.
Kujifurahisha kwa u CinC rukhsa!.
P
Kwa kuwa wewe ni mwanasheria, ebu tafsiri hili kisheria na si kisiasaMajaliwa ni Waziri Mkuu wa JMT, Zanzibar ni sehemu ya JMT, hivyo ana mamlaka yote kuhusu Zanzibar kwa jambo lolote hata la Zanzibar as far as JMT itahusika.
Biashara sio jambo la muungano, lakini biashara ya sukari ya Zanzibar imekuwa na siasa ambazo serikali ya JMT inahusika direct, hivyo Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa yulo very right kuingilia kati.
Zanzibar inakiwanda cha sukari kinazalisha sukari ya kutosheleza soko la Zanzibar, huku wafanyabiashara ya uagizaji sukari, wakiagiza sukari kutoka nje at cheaper prices kuliko hiyo sukari ya Zanzibar na matokeo yake ni sukari ya Zanzibar imedodea kiwandani wakataka kuiingiza bara, tukawagomea!.
PKwanini Viongozi Bara hawaitaki Sukari kutoka Zanzibar?
Mawaziri wa bara na zanzibar wa biashara na viwanda wameshindwa kuafikiana kuhusu kununua sukari ya zanzibar. Wamekubaliana swala lipelekwe mamlaka za juu. Bidhaa nyingine zote zitasafirishwa isipokuwa sukari tu. Charles Mwijage amesema hawajasitisha bali taratibu sheria na viwango lazima...www.jamiiforums.com
GOVERNMENT OF THE UNITED REPUBLIC ndio mamlaka takeIbara ya 52(1) ya katiba ya JMT ipo wazi kabisa .The prime minister shall have authority over the control and supervision and excution of the day -to-day functions and affairs of the government of of the United Republic. Kwa kuwa Zanzibar ni zehemu ya JMT mamlaka ya kusimamia utendaji kazi huko Zanzibar anayo.
Ndio mnavyodanganyana. Dunia hii huwezi kula peke yako as if wengine hawapo .Zanzibar haiwezi kuwa na uchumi sambamba na Tanganyika, hizi ni nchi mbili zenye mfumo tafauti wa kiuchumi..
Hakuna kisiwa masikini, kama kweli Zanzibar itafata miko ya kiuchumi inayofata desturi za visiwa basi uchumi wa Zanzibar utakuwa juu sana
lakini Kama watawasikiza hawa akina MAJAALIWA, basi zanzibar itaendelea kuwa tegemezi kwa akina MAJAALIWA..
Hajaanza leo kuitukana Zanzibar huyo , yuko kundi moja na KessyHaya matusi makubwa kwa mamlaka ya zanzibar.
Paschal katyika hili unatia tu chumvi. Ni kweli PM ni wa JMT lakini anapaswa kuangalia tu mambo ya muungano. Sukari sio jambo la muungano na hata kama alikuwa na ushauri angewaambia wakuu wa Zanzibar na sio kutoa directives. Hapo ni kuvuka mipaka. Viongozi wetu wanapaswa kuwa makini wakifika visiwani, vinginevyo hamna haja ya kuwa na serikali ya Zanzibar kama kila kitu kinaweza kushughulikiwa na serikali ya Muungano.Majaliwa ni Waziri Mkuu wa JMT, Zanzibar ni sehemu ya JMT, hivyo ana mamlaka yote kuhusu Zanzibar kwa jambo lolote hata la Zanzibar as far as JMT itahusika.
Biashara sio jambo la muungano, lakini biashara ya sukari ya Zanzibar imekuwa na siasa ambazo serikali ya JMT inahusika direct, hivyo Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa yulo very right kuingilia kati.
Zanzibar inakiwanda cha sukari kinazalisha sukari ya kutosheleza soko la Zanzibar, huku wafanyabiashara ya uagizaji sukari, wakiagiza sukari kutoka nje at cheaper prices kuliko hiyo sukari ya Zanzibar na matokeo yake ni sukari ya Zanzibar imedodea kiwandani wakataka kuiingiza bara, tukawagomea!.
PKwanini Viongozi Bara hawaitaki Sukari kutoka Zanzibar?
Mawaziri wa bara na zanzibar wa biashara na viwanda wameshindwa kuafikiana kuhusu kununua sukari ya zanzibar. Wamekubaliana swala lipelekwe mamlaka za juu. Bidhaa nyingine zote zitasafirishwa isipokuwa sukari tu. Charles Mwijage amesema hawajasitisha bali taratibu sheria na viwango lazima...www.jamiiforums.com
Ibara ya 52(1) ya katiba ya JMT ipo wazi kabisa .The prime minister shall have authority over the control and supervision and excution of the day -to-day functions and affairs of the government of of the United Republic. Kwa kuwa Zanzibar ni zehemu ya JMT mamlaka ya kusimamia utendaji kazi huko Zanzibar anayo.
Leo Paschal hauko vizuri! Pole sana. Your head needs a check up by a specialist. Kuwa Sheni alikuwa anajifurahisha kukagua gwaride mbele ya Magu? You can't be serious! Halafu unalinganisha mwanao kushka usukani na ukaguzi wa gwaride linaloongozwa na kanal wa jesho! Ajabu....Tanzania ni nchi moja tuu ya JMT, ina rais mmoja, rais wa JMT, ina jeshi moja la JWTZ na Amiri Jeshi Mkuu mmoja tuu, nani anakagua gwaride sio hoja hata ma RC wanakagua magwaride, issue ni unakagua gwaride kama nani?.
Siku za weekends, natoka na my small kid, namkalisha mbele yangu nimembeba yeye ana shika stearing na kuendesha, anafurahi na kujiona yeye ndiye anayeendesha!. Hivyo mtu kukagua gwaride mbele ya CinC kuna mpa furaha ya kujiona na yeye ni CinC, wakati in reality CinC ni mmoja tuu, the one and only!.
Kujifurahisha kwa u CinC rukhsa!.
P
Literal translation ya hii ibara ni jibu tosha kabisa. Na moja ya mambo yanayohusu Muungano kwa taarifa yako ni katiba ya JMT.Pitia tena notes zako za Constitutional Law maana you seem not to make a difference of what the PM is capable of doing and what he cannot when it comes to Zanzibar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali lingine ambalo unatakiwa kujibu ni kwa nini wabunge toka Zanzibar huwa wanamuuliza maswali bungeni waziri mkuu kuhusu hata masuala ambayo yanahusiana hata na sukari au miundo mbinu?Literal translation ya hii ibara ni jibu tosha kabisa. Na moja ya mambo yanayohusu Muungano kwa taarifa yako ni katiba ya JMT.
Suala la sukari halihusiani na kodi? Ambalo ni suala la muungano?Kweli Waziri Mkuu anayo mamlaka ya kusimamia utendaji Zanzibar lakini kwa shuhuli zinazohusu mambo ya MUUNGANO TU
Zanzibar wana kodi yao ZRBSuala la sukari halihusiani na kodi? Ambalo ni suala la muungano?
Utakuwa mtoto wa juzi labda na huwajui akina Karume au Salmin Amour aka Komandoo.Wananchi wa Zanzibar ni watu wanaoeshimiana ni wastaarabu hawakuzoea hotuba kali za viongozi kama yanayofanyika huku bara
Kichwa maji,masuala yasio ya muungano tanganyika haipaswi kuingilia maamuz ya wazanzibar,mmefanya fanya ujinga wa kizamani mpaka sasa hivi rais mnawachagulia kutoka dodoma,ukoloni una mwisho wake.Majaliwa ni Waziri Mkuu wa JMT, Zanzibar ni sehemu ya JMT, hivyo ana mamlaka yote kuhusu Zanzibar kwa jambo lolote hata la Zanzibar as far as JMT itahusika.
Biashara sio jambo la muungano, lakini biashara ya sukari ya Zanzibar imekuwa na siasa ambazo serikali ya JMT inahusika direct, hivyo Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa yulo very right kuingilia kati.
Zanzibar inakiwanda cha sukari kinazalisha sukari ya kutosheleza soko la Zanzibar, huku wafanyabiashara ya uagizaji sukari, wakiagiza sukari kutoka nje at cheaper prices kuliko hiyo sukari ya Zanzibar na matokeo yake ni sukari ya Zanzibar imedodea kiwandani wakataka kuiingiza bara, tukawagomea!.
PKwanini Viongozi Bara hawaitaki Sukari kutoka Zanzibar?
Mawaziri wa bara na zanzibar wa biashara na viwanda wameshindwa kuafikiana kuhusu kununua sukari ya zanzibar. Wamekubaliana swala lipelekwe mamlaka za juu. Bidhaa nyingine zote zitasafirishwa isipokuwa sukari tu. Charles Mwijage amesema hawajasitisha bali taratibu sheria na viwango lazima...www.jamiiforums.com
Zanzibar wana kodi yao ndio nini? Ninacho maanisha JMT ina majukumu ya kusimamia masuala yote ya kodi wanazolipa wananchi,mashirika custom duty on goods manufactured in Tanzania and collected by customs departments.Zanzibar wana kodi yao ZRB
Sent using tecno tochi
Hata vikundi vya sanaa na kwaya vina katiba, itakuwa Zanzibar!Mkuu Mayalla kwani Zanzibar si wana katiba yao? Na wanaifuata na tunaitambua? Katiba yao haimtambui Majaliwa. Inakumbusha lile sakata la Pinda.
Sent using Jamii Forums mobile app