majaliwa azidi kuchanja mbuga

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,911
2,891
Kwa mujibu wa TBC Taifa, mheshmiwa waziri mkuu ataanza leo ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Ruvuma.

Anafanya hayo huku mkuu wake wa kazi akisalia Dar tangu akabibidhiwe nchi.

Nazan ni utaratibu mzuri waliojiwekea hawa wakuu wetu.
 
Last edited by a moderator:
kwa mujibu wa tbc taifa mheshmiwa waziri mkuu ataanza leo ziara ya kikazi ya ck nne mkoani ruvuma anafanya hayo huku mkuu wake wa kazi akisalia dar tangu akabibidhiwe nchi nazan ni utaratibu mzuri waliojiwekea hawa wakuu wetu
safi sana
 
Kuna haja ya mkuu wa nchi kutoka nje sasa tanzania hatuwezi kua kama kisiwa mkuu wa nchi ni icon ya,taifa cjui atatoka lin
 
Kuna haja ya mkuu wa nchi kutoka nje sasa tanzania hatuwezi kua kama kisiwa mkuu wa nchi ni icon ya,taifa cjui atatoka lin
Tatizo sio kutoka toka tu lakini unatoka ukafanye nn???
Ukaombe vyandarua???
 
Kuna haja ya mkuu wa nchi kutoka nje sasa tanzania hatuwezi kua kama kisiwa mkuu wa nchi ni icon ya,taifa cjui atatoka lin
Atoke tu pasi na sababu ya kutoka??? Acha hizo. Akianza mtasema naye kaanza kuwa Vasco da Gama. Sifa ya baba bora ni kutulia na familia yako mkiweka mikakati ya kujikwamua. Penye ulazima wa kufanya safari basi ziwe zenye tija tu. Na ndicho anachokifanya Mh. Rais.
 
kwa mujibu wa tbc taifa mheshmiwa waziri mkuu ataanza leo ziara ya kikazi ya ck nne mkoani ruvuma anafanya hayo huku mkuu wake wa kazi akisalia dar tangu akabibidhiwe nchi nazan ni utaratibu mzuri waliojiwekea hawa wakuu wetu
itanichukua miaka miwili kuiamini serikali ya magu na ccm yake maana naona kinachofanyika kwa sasa ni usaniii tu
utakamataje wanaopewa maagizo na kuwaacha wanaotoa maagizo? huu ni uonevu kwa wadogo.kamata mwakyembe.sitta.saada mkuya watueleze kwa nini makontena yalitoka na ayakulipiwa chochote la sivyo ni usanii tu
 
Back
Top Bottom