and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Mwamba aliipatia Sana kila mara akiongea lazima achomekee Dakta Mama yetu. ila ndo vile kapigwa pin
yupo Dakta mwingine nae ni DAKTA DOTTO MASHAKA BITEKO (PhD)Ila wamemuonea, kama hawezi bora wangeeleea naye tu maana hakuna mwenye nafuu
Sasa serikali yote itaongozwa na wasio watanganyikayupo Dakta mwingine nae ni DAKTA DOTTO MASHAKA BITEKO (PhD)
Mfumo haumtaki!Mwamba aliipatia Sana kila mara akiongea lazima achomekee Dakta Mama yetu. ila ndo vile kapigwa pin
Neno Dr sasa hivi halina thamani. Form Four Failure anakuwa Dr kwa sababu ya status yake kwenye Jamii.Mwamba aliipatia Sana kila mara akiongea lazima achomekee Dakta Mama yetu. ila ndo vile kapigwa pin
Majaliwa anarudi chamani kuweka sawa mamboooozMwamba aliipatia Sana kila mara akiongea lazima achomekee Dakta Mama yetu. ila ndo vile kapigwa pin
Very humble guyWahuni wa Zanzibar wanagawana Tanganyika, Ndugai alilazimishwa ajiuzulu, Mpango nae mapema kabisaa, Katelephone akajitutumua weee, dakika za jioni wakamweka mtu kati!!
Boss wa TISS mzenji, Mkurugenzi wa operation Polisi Mzenji, AG mzenji, Waziri wa Mambo ya nje Mzenji, Rais Mzenji, Watanganyika wamebakia machawa wanaburuza mbupu kumsifia Mama la Mama huku Kila kitu kikipigwa mnada!!