[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] umenikumbusha chizi aliyepita jalalani na kumkuta mlevi kalala uchi jalalani makalio yakiangalia mbinguniAkipita mwendawazimu atashangaa na kusema "hawa watu matajiri kweli yaani wametupa mguu mzima kabisa "
Absolutely Mkuu,mimi pia nakumbuka though nahisi lilikuwa ni tukio la mwaka 2014Hii si ilitokea mwaka jana Tegeta/Bunju kama sikosei?
Wanafunzi wa IMTU walienda kumwaga mabaki ya miili waliyokwisha kufanyia majaribio.
haikuwa jalalan ile ilikuw msitun cjui msitu wa pande au msitu gan nmesahau hapoAbsolutely Mkuu,mimi pia nakumbuka though nahisi lilikuwa ni tukio la mwaka 2014
Naam...nafikiri ni 2014 mkuu.Absolutely Mkuu,mimi pia nakumbuka though nahisi lilikuwa ni tukio la mwaka 2014
Yap yap akasema hawa wametupa makalio mazima kabisa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] umenikumbusha chizi aliyepita jalalani na kumkuta mlevi kalala uchi jalalani makalio yakiangalia mbinguni
Ilikuwa balaa mkuu,wale jamaa wa imtu(wahindi) wasingekuwaga na pesa ya kuhonga ilikuwa bonge la msalahaikuwa jalalan ile ilikuw msitun cjui msitu wa pande au msitu gan nmesahau hapo
Yaah maana yalikuwa mazima kabisaHalafu akataka kuyaokota [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23]