Majaji wa Tundu Lissu bado wapo kazini?

Majaji wa Tundu Lissu bado wapo kazini?

Kwani aliyewateua bado yupo madarakani?
Kama bosi wao bado yupo ofisini ni dhahiri nao watakuwepo na kama kaachia ofisi hapo ni 50/50
 
Kwani aliyewateua bado yupo madarakani?
Kama bosi wao bado yupo ofisini ni dhahiri nao watakuwepo na kama kaachia ofisi hapo ni 50/50

No, No, hata aliyewachagua hana mamlaka ya kuwatoa, hata atakayekuja, hana mamlaka ya kuwatoa mpaka kwa tume maalum ikijumuisha wajumbe (majaji? )toka nje ta Tanzania -commonwealth countries
 
Aliyewateua mwenyewe kihiyo. wapo sana tu
 
wapo wengi kama john utamwa jaji anayekaa na ruling ya kesi tangia 2010 hadi leo 2014 bila kutoa maamuzi tena katika hatua ya awali ya po maamuzi madogo huku hakiwa na mpaka kesi za mwaka 1996 bado hazijatolewa maamuzi
 
Hivi na werema anyeita watu tumbili na atwauwa si kundi hilo angalau kw akukosa weledi na ethics?
 
Huyu jamaa katumwa humu JF mjihadhari Nate na anachangia JF kukosa active members nowadays....
Umetoroka mirembe umetua moja kwa moja jf angalia sasa ndo nini hicho ulichokiandika? Hebu rudi kamalizie dozi yako usituletee takataka zako hapa. Ukitoka huko upumzike angalau hata miaka mitatu.
 
Majaji hawafukuzwi simply b'se mwanasiasa amesema kuwa ni vihiyo.
Hata Mbarouk anayesoma LLB Open University? Nilidhani uteuzi wake ulikuwa batili tangu mwanzo!
 
Hata Mbarouk anayesoma LLB Open University?

Kwani LLB ya Open University siyo degree ya sheria?

Tena kwa taarifa yako wengi waliograduate LLB UDSM wamekuwa wakitumia madesa ya Open University yaliyoandaliwa na walimu wa sheria UDSM.
 
Tena kwa taarifa yako wengi waliograduate LLB UDSM wamekuwa wakitumia madesa ya Open University yaliyoandaliwa na walimu wa sheria UDSM.

Labda anamaanisha ndo anasoma sasa na uteuzi tayari ulifanyika.
 
Back
Top Bottom