MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Mimi sijaelewa hizi nafasi hua zinapatikanaje! Ili mtu aqualify kua jaji TMT anatakiwa kuwa na vigezo gani? Au tu kwa sababu mtu ni migizaji ndiyo kigezo? Hapa ndo mtu unajua kua ni kupeana tu kwa sababu ya kujuana.
Haiwezekani unamfanyia mtu interview hujaongea nae chochote unamwambia eti "tuonane mwakani "Kwanini? Nini maana ya kuwa haji? Kwanini umkatishe mtu tamaa mapema hata bado hujafahamu anachoenda kukifanya?
Watu hubadilika siku hadi siku, Kwani jaji usiwe counselor, mentor, educator, emphasizer? Badala ya kumtia mtu matumaini Unapata wapi ujasiri wa kumwambia mtu tuonane mwakani? We ni Mungu? Kwani wewe hizo pesa umetoa mfukoni kwako?
Huyu bwana anayeitwa Roy Sarungi hafai kua jaji hata kidogo yupo kupiga pesa tu. Taifa linahitaji vijana wenye weledi wa kuigiza ili wapate ajira kukimu maisha ya familia zao lakini wakwamishaji ndio Hawa!
Hapa ndio tunaamini kuna Inawezekana kabisa Hawa watu wana watu wao mifukoni.
Tabia mbaya sana hii, Kwa season ijayo waangaliwe watu walio na vigezo vya kua majaji na sio wababaishaji.