Nafasi za kazi:Jaji Mkuu na majaji wa mahakama kuu-Kenya

Ubumuntu

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,316
10,782
Salaam wanaJF!

Serikali ya Jamhuri ya Kenya imesema kati ya j3 na j5 ya wiki ijayo,tangazo la nafasi za ajira ya jaji mkuu wa Kenya na majaji wa mahakama kuu zitatangazwa katika magazeti.


Mtazamo wangu:wenzetu wanatangaza nafasi muhimu kama hizo katika magazeti,ikimaanisha kua mtu yeyote (mkenya) mwenye vigezo anaweza kuomba;pia inamaanisha watakaofaulu zoezi la usaili(interview) hawatakua directly responsible kwa mkuu wa nchi(kama huku kwetu TZ!). Ama kweli hayo ni matunda ya katiba mpya yenye matakwa ya wananchi.
 
thank GOD for blessing kenya with a great new constitution. i hope there wont be shenanegans lke what we just had last week. kenya cant afford the mess up the implementation of this new constitution
 
hiyo ni safi sana.Nawapongeza wana wa Kenya kwa mwongozo mlojiweka.Thats peoplez power we want.
 
Back
Top Bottom