chantete Senior Member Joined Nov 18, 2014 Posts 115 Reaction score 77 Jul 1, 2022 #1 Majaji wa vitasa mnaonyesha upendeleo kabisa kwa wanyumbani wangeni kesho watagoma kuja kushiliki fanyeni haki katika huu mchezo
Majaji wa vitasa mnaonyesha upendeleo kabisa kwa wanyumbani wangeni kesho watagoma kuja kushiliki fanyeni haki katika huu mchezo
jerryempire JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 5,879 Reaction score 10,213 Jul 1, 2022 #2 chantete said: Majaji wa vitasa mnaonyesha upendeleo kabisa kwa wanyumbani wangeni kesho watagoma kuja kushiliki fanyeni haki katika huu mchezo Click to expand... bora umeliona hilo nmemuona mpka mzimbambwe kagoma kumpa dogo mkono
chantete said: Majaji wa vitasa mnaonyesha upendeleo kabisa kwa wanyumbani wangeni kesho watagoma kuja kushiliki fanyeni haki katika huu mchezo Click to expand... bora umeliona hilo nmemuona mpka mzimbambwe kagoma kumpa dogo mkono
kaisar19 JF-Expert Member Joined May 24, 2021 Posts 275 Reaction score 486 Jul 1, 2022 #3 Dogo ameputwa[emoji854][emoji854]
G.T.L JF-Expert Member Joined Jul 15, 2012 Posts 1,773 Reaction score 4,102 Jul 1, 2022 #4 Huyu Hamis Maya ndo kapendelewa wazi wazi kabisaa. Azam wanajitahidi ku Promote masumbwi afu majaji wanaleta uswahili
Huyu Hamis Maya ndo kapendelewa wazi wazi kabisaa. Azam wanajitahidi ku Promote masumbwi afu majaji wanaleta uswahili