mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,218
- 6,650
Rais amesema ile hisa ya 16% yetu iko pale pale halafu mwishoni bado tunagawana 50/50.
Which means eti sisi tunafaidi zaidi ya 50!
Ukiamini hiki kitu ni lazima unahitaji kufanyiwa frontal lobe transplant, oparesheni ya kubadilishiwa kipande cha ubongo.
Ni uongo!
Ni uongo!
Ni uongo wa mchana!
Sikijui hicho kwenye rangi nyekundu ni nini, labda unaonesha uwezo wako wa kudesa maneno ya kitaaluma ili uonekane uko hivyo!
Wewe na mimi tumerejeshewa matokeo ya majadiliano, ambayo yametolewa wazi kweupe, lakini unasema ni uongo.
Pili umeelewa tofauti na ujumbe wenyewe. Kwa kuwa unajua ukweli, siendelei na mjadala huo na wewe. Ila nakukubali kuwa wewe siyo mtu mzima na makini kwa sababu USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA