Majadiliano na Mwalimu..

Majadiliano na Mwalimu..

Kontelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
571
Reaction score
161
Wazee wakijadiliana
 

Attachments

  • 1410526899274.jpg
    1410526899274.jpg
    31.6 KB · Views: 582
Ben anaonekana enzi hizo alikuwa kijana mtiifu na mpole sana maana usimamaji wake tu unaonyesha hilo
Chezea mwalim wewe!!!!!
 
mtu anakoromewa hapo kashaharibu
 
hapo nimemtambua Mzee Warioba, Mzee Mkapa na Hayati Nyerere
 
Mbona mzee Warioba kakaa nyuma sana? Au majadiliano hayakumuhusu?
 
Hilo pozi la mchonga tafikiri anataka kumcharaza mtu viboko
 
Back
Top Bottom