Nawe ukipata tatizo bro sema, nikupm namba yake 😂😂😂😂😂😂😂
bro Evelyn Salt walaqhi tena nimecheka mpaka mate..!!!
Wengine tunafungua mlango wa Baraka, wewe unafungua wa X!😂Jana nimejikuta nimelala njee tena ni baada yakumuota X wangu amekuja kunisalimia nikaja kumfungulia mlango .
Aisee hii ni maajabu sasa hii inakuwaje ??
Bado Ni Wasiwasi Wako Tu.....True nimejikuta hapo geitini pembeni
Tawire 😁Alafu dada Evelyn Salt unakumbuka siku ile nilivyomtibu yule kaka aliyekuwa karogwa mpaka kuwa kichaa pale mtaani kwenu ?
Sawa na baada ya hapoAmka saa nane usiku .Sema maneno haya Mungu nisamehe zambi zangu ,Mungu naomba ulinzi wako Amen
Sema unakumbuka nimkule mtu kitumbua hapaTawire 😁
Kwa hiyo mie kichaa sawaAlafu dada Evelyn Salt unakumbuka siku ile nilivyomtibu yule kaka aliyekuwa karogwa mpaka kuwa kichaa pale mtaani kwenu ?
Yule ni freemanson sio mtu wakuongea nayeSema umemmiss unataka mrudiane😂😂
Jitahidi maombiYule ni freemanson sio mtu wakuongea naye
Hapana dada naomba usihisi hivyo tafadhali .Kwa hiyo mie kichaa sawa
Waganga siwataki tena hawana inshuHapana dada naomba usihisi hivyo tafadhali .
Nimesema hivyo ili akisema ndiyo nakumbuka ,basi wewe huhisi mimi ni mganga wa kienyeji unifuate PM nikupige mashine kimasihara dada
Babe, hii habari ulitakiwa unijulishe mimi kwanza kabla ya kuja huku kumwaga mchele kwenye kuku wengi! 🙆Jana nimejikuta nimelala njee tena ni baada yakumuota X wangu amekuja kunisalimia nikaja kumfungulia mlango .
Aisee hii ni maajabu sasa hii inakuwaje ??
Njoo nikufariji dear lakini pia dini inapanda sana nitakuombea duaWaganga siwataki tena hawana inshu
Amemis kupigwa pumbu tuSema umemmiss unataka mrudiane😂😂