Majaabu sana imenitokea jana

Majaabu sana imenitokea jana

Huyo X wako ni binti wa Mkojani? Maana ndio tabia zake hizo kwenye maigizo
 
Kumbe sio mara ya kwanza kukutokea !🤔, pole sana Sweetie ila njia ya kwanza ya kusolve hii issue nadhani ni kuhakikisha unafunga milango yote na madirisha vizuri kabla hujala, halafu kama una mme yeye ndo awe analala huku mbeleni, wewe uwe mbali na mlango kuliko yeye, lakini pia kama ni mtu wa kusali/kuswali sana ongeza bidii. Lakini pia kitu kingine SweetyCandy FUNGA PM TAFADHALI 😌
 
wacha watu wajaribu bahati zao mkuu
 
HAya
 
Back
Top Bottom