Maiti ya mwanaume yaokotwa Mbezi, Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maiti ya mwanaume yaokotwa Mbezi, Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MziziMkavu, Aug 18, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,229
  Likes Received: 4,022
  Trophy Points: 280
  MAITI YA MWANAUME YAOKOTWA MBEZI, DAR


  [​IMG]
  Mwili wa marehemu huyo ukiwa umefunikwa kwa kanga.
  [​IMG]Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakiuangalia mwili huo ili kuutambua.Mtu mmoja ambaye jina lake halikupatikana amekutwa amefarikI huko Mbezi-Samaki maeneo ya Goigi jijini Dar es Salaam.
  Mwili huo ulichukuliwa na polisi wa kituo cha Kawe na kupelekwa katika hospitali ya Mwananyamala kwa uchunguzi zaidi.​

  [​IMG]Mashuhuda waliofika eneo la tukio.
  [​IMG]Mwili ukiwa umefunuliwa ili utambuliwe.​
   
 2. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,293
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mbona pic hakuna?
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,162
  Likes Received: 4,125
  Trophy Points: 280
  tunaomba tena hizo picha.
   
 4. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,840
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  samaki sehemu gani?
  kama ni barabarani pale ni pabaya sana watu
  huwa wanakufa sana kwa kugongwa au
  magari kupinduka!
   
 5. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,546
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  ema huyu atakuwa kafumaniwa wakamcharanga mapanga wakamtupa hapo m nakaa mitaa hiyo sijasikia paka naondoka lakini kama ajaumizwa basi ameitwa na bwana akapumzike
   
Loading...