Maiti ni maiti tuu

Maiti ni maiti tuu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
56e1596f4907b4febc8d141cae1f17e6.jpg
 
Hajafa huyu! Ni wale wajinga flan waliofunga ndoa ya kwenye jeneza kama sikosei!
 
mi nadhani unaweza kumremba ambaye hakuwa mtu wako wa karibu sana. Tena unakuta na mfiwa kapakwa poda halafu anaambiwa asilie sana atafuta makeup. Sijui tunaelekea wapi wanadamu.
 
Back
Top Bottom