maiti bado zaibuka maeneo ya chumbe!!!

maiti bado zaibuka maeneo ya chumbe!!!

HeartBreak

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2008
Posts
346
Reaction score
28
Leo mida ya saa 11:30 jioni tukitokea dar na mv. Kilimanjaro kuja znz tuona maiti ya mwanaume ikiwa inaeleya kwenye bahari kuu maeneo ya chumbe..msafiri kafikiri...!!! Maiti nyingi sana zitakuwa bado ziko chini na inavyoonekana kila bahari inavyo chafuka maiti zinaibuka!!!
 
Nini husababisha mambo hayo?!
 
Kila nafsi itaonja mauti, tuwe na staha, tusiyaone ya kawaida haya!
Yanayotusibu na yajayo yanasikitisha.
 
Back
Top Bottom