Maisha yatajiseti at 40s maana yake nini?

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
853
1,005
Habari za jioni wadau.

Nasikia watu wakisema maisha yatajiseti at 40s lakini mpaka leo sijaelewa kiundani msemo huu.

Naomba wajuzi wa mambo tofauti ya maisha waje katika debate hii.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom