Mlinde huyo aliye negative, na bora umwambie ukweli kama unampenda.
Kaka pole is just a way of showing concerned!Pole sana! Wenye VVU ni wengi sema wengine hawajui, na wengine hawako tayari kupima!My worry is yawezaekana binti alijua kabla yako,ndiyo maana akawa mvivu kwenda kupima.Naomba nitumie fursa hii kuwaomba singles to abtain or get married!
Nani alikwambia ndoa ndiyo kinga ya VVU?Kaka pole is just a way of showing concerned!Pole sana! Wenye VVU ni wengi sema wengine hawajui, na wengine hawako tayari kupima!My worry is yawezaekana binti alijua kabla yako,ndiyo maana akawa mvivu kwenda kupima.Naomba nitumie fursa hii kuwaomba singles to abtain or get married!
Pole kaka.
baada ya kupimwa na kupewa majibu nimegundulika nina VVU mwilini mwangu.............
mwanzoni ilinipa tabu kidogo ila nilijikaza kiume kuukubali ukweli..huwa ni mtu nisiyependa kuregret in life hasa inapotokea nimeshapoteza kitu.................bado ni kijana; mwanaume mwenye sifa zote.educated.nina biashara zangu zinazoniingizia kipato cha kawaida...........
ila nawaasa ndugu zangu kwamba muda wowote siku yeyote you can be a victim........hakuna anayejipa ugonjwa huu...
nilikua na mtu niliyemrespect na kumuamini kupita kiasi....tulijenga utaratibu wa kucheki afya zetu kila baada ya miezi sita na hii ilisaidia sana kujua afya yangu mapema....mwenzangu alianza kuweka sababu na visingizio nikawa napima peke yangu hadi nilipoujua ukweli...sikumwambia!! huyu mwenzangu tayari tumetengana baada ya kuwa tunapishana sana kauli na vitendo lakini si kwa sababu ya status niliyo nayo maana sikumwambia.......
naendelea na biashara zangu happily n healthier wala hakuna anaefahamu.....
nafeel guilty kuingia kwenye new relationship na binti ambaye ni negative....natumai wote wangekua kama mimi huu ugonjwa tungeutokomeza kabisa...lakini haipo ivyo...........
ombi langu mwisho kabisa ni kuweza kumpata binti anaenikubali na hali yangu hii preferably positive!!
usinipe pole......
Pole sana mkuu..............
kauli yako haijawa na mwisho mwema.kwamba kuoa/kuolewa ndio kutatue tatizo lao??la hasha...usijidanganye royna kwamba hukokwenye ndoa ndio u will be more safe 100%..hapana.chance zote are posible...full solution ni lifetime abstainance...otheryz utakua unaninyanyapaa mimi na wewe mwenyewe.
Pole kaka.
Pole sana mkuu..............