Maisha yananigonga

Watakuelewa wachache sana,
[emoji1787]

Siku ukimuotea [emoji39]

Hahaahhahaa ukimuotea Kanji inakuwa raha sana, kuna Mshikaji alimpiga siku ya ijumaa shida zote ame clear alikuwa hana Uniform za mtoto, ada ya mtoto na gesi ilikuwa imeisha na alikuwa anaunga unga karibia siku 5.
 
Pole sana mkuu, ni kweli upo kwenye wakati mgumu lakini usikate tamaa... Jipe moyo kama unafanya biashara endelea nayo, omba ushauri kwa namna ya kuboresha biashara yako kama ni mfanyakazi umeajiriwa pia usiache kuomba msaada hapo ofisini kwa muhusika. Maisha ya mwanadamu yamejaa dhiki na tabu kila uchwao. Pole mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…