Never give up Mkuu, hakuna duniani mwenye maisha mazuri kila mtu ana changamoto na magumu yake lakini anayakabili kwa namna anayoijua, tuliza akili, na amini hakuna kipindi au majira yanayodumu kila kitu ni cha kupita tu.Niliendaga kabla miaka kama kumi huko nyuma ,Sasa siendi tena abadani
Kila mtu akisema mashida yake utaona bora ya ww.Nishahangaika Sana,hata pombe sinywi tena Wala mademu
Ni hatariKila mtu akisema mashida yake utaona bora ya ww.
We chawa wa wcb kumbe huwa una akili na busara.😀Kuanza upya sio ujinga, anza upya kama ndio unatoka chuoni. Rudisha mke kwao au kwenu kwa muda. Toka hapo unapoishi tafuta sehemu nyingine...
Nilikuwa mkoa kidogo nataka kuwa karibu na kidogo na Dada yako 😂Nmekumic pia shemeji.
Siku nyingi sijakuona.
Sawa usibambie humo ndani tumeweka camera pote.OI Shem lake nadandia Mwendokasi hapa, baadae baadae
Mimi ni Mwanamume sio mtoto wa KiumeSawa usibambie humo ndani tumeweka camera pote.