Nashukuru sana ndugu yangu, nimekaa nao mara nyingi ila hakuna aliye tayari imefika hatua nafanya kitu kuwapa furaha na amani ya moyo lakini siko well committed na ninachokifanaya.Mkuuu, pole kwanza katika kipindi hiki cha mpito.
Ila la msingi sana, usi disapoint wanaona mengi kwako kivipi??
Yeah, una potential lakini endapo biashara haita work out utapewa lawama na suport itaisha hapo , hapa endapo tu utaajiiba na kutumia ada huko.
Lakini cha msingi, hebu tumia mbinu zako ,huelewa wako kuongea na member wa familia. Waeleze juuu ya mawazo yako, anza na yule unaehisi atakuelewa kwa urahisi hapo utapata njia ya kuanza.
Wazeee , wakikubali na kuto kuwa na hofu juu ya future wako ,utapata baraka zao na full suport za kiuchumi na moyo.
Wape mifano ya watu waliosoma na kusugua game, waambie mwisho wa siku hakuna ajira so lazima ujiajiri hata ukisoma IT. Wape mifano ya watu walio barikiwa na kutoka kupitia biashara , wajuze kuwa ndoto zako ni kuwa miongoni mwao.
Ngumu, it will take time but hakuna lisilo wezekana.
GOD BLESS YOU BROTHER
Lengo kuu ndo hilo mgahawa na huduma ya juisi Kama extra.Do what you like! Ila achana na hiyo biashara ya miwa.
Anzisha kamugahawa kadogo simammia wewe mwenyewe huku ukizingatia usafi kwa hali ya juu,baada ya mtaji kikuwa anza kijishulisha na biashara uzipendazo.
Biashara ya chakula haofanywi na wanaume wengi lakini ni biashara nzuri pia wewe utaifanya kiosomi zaidi pia risk yake ni ndogo
Ushauri wangu ni kama ufuatao, kwanza tambua hakuna uwekezaji mzuri kama elimu, hivyo hutakufa njaa kama umewekeza hapo. Elfu kumi kwa week ukipunguza matumizi itakusaidia umalize chuo. Fanya jambo moja asikudanganye mtu, ajira zipo za kutosha kama una cheti kizuri, usimkatishe tamaa anayekusaidia umri wako katika karne ya sasa unahitaji elimu kwanza angalau ufike degree alafu ndiyo ufanye biashara. Nimekushauri hivi maana una mawazo sawa na mdogo wangu ninayemsomesha.Mimi ni kijana umri miaka 21 ,nimemaliza kidato cha sita mwaka jana ila matokeo hayakuwa vizuri nilikosa credit moja kuwa nA kigezo cha kusoma degree.
Hivyo nilijiunga kusoma diploma ya IT chuo kimoja hapa Tanzania japo nilikubali kusoma shingo upande kutokana na msukumo wa ndugu na wazazi maana Mimi nilikata tamaa ya kusoma baada ya matokeo. Nilitamani kujiajiri japo Hakuna mzazi au ndugu aliyebariki mawazo yangu. Hata ndoto yangu kusoma degree ulikuwa kusomea mambo ya biashara au utawala maana ndoto yangu kubwa ni kujiajiri.
Tangu nije hapa chuoni mwaka jana mambo hayaendi masomo magumu nafeli japo sio Sana lakini nasoma kwa kutumia energy kubwa stress haziishi hasa likija swala la ukata wa pesa. Pesa imekuwa mgumu Sana kutoka kwa wazazi kutokana na kipato chao hata majukumu yanayowakabili.
Wazo nililonalo ndugu zangu nataka nijiajiri japo sina mtaji kama cash ila kuna Wazo ninalo nawaza Kusitisha masomo japo sitawaambia wazazi, nataka Ada watakazonitumia ndo uwe mtaji wa biashara ninayotaka kujiajiri. Nataka niende veta wanichongee machine ya kukamua juice ya miwa nataka nianziea hapo nifungue na kimghahawa cha kuuzia watu wa vipato vya chini ila Wazo kuu biashara ninayotaka kufanya ni biashara ya mazao hasa katika mikoa ya mbeya, morogoro, mwanza naleta bidhaa dar pia mungu akisaidia niwe nA mashine kubwa za kusaga maindi na kukoboa napunga.
Naombeni mawazo ndugu zangu nakoelekea kuzuri au ndo nimepoteza mwelekeo namtafuta majuto na laana.
Nakaribisha mawazo yenu na ushauri mnishauri kama mtoto wako au ndugu wa muhimu Kwako. Nimechoka na Maisha ya kutumiwa elfu kumi kila wiki
Mkuu suala la kuuliza biashara kwa wenye uzoefu kwa uzoefu wangu wabongo huwa tunatabia ya kukatishana tamaa! Kwa ushauri wangu ukiwa likizo its right Time ti do! Lastly biashara usiwekeze kubwa anza na juisi utafanikiwa!Kwanza kabla hujaacha shule watafute watu walioacha shule alafu uwaombe ushauri juu ya kuacha shule na uone watakuambia nn.
Pili kabla hujaanza biashara ya kuuza juisi ya miwa pamoja na mgahawa tafuta watu ambao wanafanya biashara ya miwa pamoja na mgahawa na wakafanikiwa kisha uombe ushauri kutoka kwao na uone watakuambia nn.
Tatu tafuta kitabu cha "RICHEST MAN IN BABYLON" ambacho kimeandikwa na Bwana George S Clason.nakushauri udownload pdf na audio yake pia alafu kisome kwa makini sana then baada ya hapo fanya maamuzi.
Asante kaka mawazo yako mazuri, kitu kinachokatisha tamaa ni mtu kasoma ana vyeti vizuri but nothing to do na hana planUshauri wangu ni kama ufuatao, kwanza tambua hakuna uwekezaji mzuri kama elimu, hivyo hutakufa njaa kama umewekeza hapo. Elfu kumi kwa week ukipunguza matumizi itakusaidia umalize chuo. Fanya jambo moja asikudanganye mtu, ajira zipo za kutosha kama una cheti kizuri, usimkatishe tamaa anayekusaidia umri wako katika karne ya sasa unahitaji elimu kwanza angalau ufike degree alafu ndiyo ufanye biashara. Nimekushauri hivi maana una mawazo sawa na mdogo wangu ninayemsomesha.
Kupewa ushauri ni jambo moja na kuuchukua ushauri huo ni jambo jingine.Mkuu suala la kuuliza biashara kwa wenye uzoefu kwa uzoefu wangu wabongo huwa tunatabia ya kukatishana tamaa! Kwa ushauri wangu ukiwa likizo its right Time ti do! Lastly biashara usiwekeze kubwa anza na juisi utafanikiwa!
kunywa sumu ukiona .umri dogo unaona kama umepita milima na mabondeMimi ni kijana umri miaka 21 ,nimemaliza kidato cha sita mwaka jana ila matokeo hayakuwa vizuri nilikosa credit moja kuwa nA kigezo cha kusoma degree.
Hivyo nilijiunga kusoma diploma ya IT chuo kimoja hapa Tanzania japo nilikubali kusoma shingo upande kutokana na msukumo wa ndugu na wazazi maana Mimi nilikata tamaa ya kusoma baada ya matokeo. Nilitamani kujiajiri japo Hakuna mzazi au ndugu aliyebariki mawazo yangu. Hata ndoto yangu kusoma degree ulikuwa kusomea mambo ya biashara au utawala maana ndoto yangu kubwa ni kujiajiri.
Tangu nije hapa chuoni mwaka jana mambo hayaendi masomo magumu nafeli japo sio Sana lakini nasoma kwa kutumia energy kubwa stress haziishi hasa likija swala la ukata wa pesa. Pesa imekuwa mgumu Sana kutoka kwa wazazi kutokana na kipato chao hata majukumu yanayowakabili.
Wazo nililonalo ndugu zangu nataka nijiajiri japo sina mtaji kama cash ila kuna Wazo ninalo nawaza Kusitisha masomo japo sitawaambia wazazi, nataka Ada watakazonitumia ndo uwe mtaji wa biashara ninayotaka kujiajiri. Nataka niende veta wanichongee machine ya kukamua juice ya miwa nataka nianziea hapo nifungue na kimghahawa cha kuuzia watu wa vipato vya chini ila Wazo kuu biashara ninayotaka kufanya ni biashara ya mazao hasa katika mikoa ya mbeya, morogoro, mwanza naleta bidhaa dar pia mungu akisaidia niwe nA mashine kubwa za kusaga maindi na kukoboa napunga.
Naombeni mawazo ndugu zangu nakoelekea kuzuri au ndo nimepoteza mwelekeo namtafuta majuto na laana.
Nakaribisha mawazo yenu na ushauri mnishauri kama mtoto wako au ndugu wa muhimu Kwako. Nimechoka na Maisha ya kutumiwa elfu kumi kila wiki
Huku unamshauri hata akusoma ajira hamna halafu unasema wanaoshinda mitandaoni kuitukana serikali ni wavivu. Ueleweke vipi au na wewe ni stress zinakusumbua?bora ufanye biashara mkuu hata ukisoma ajira hamna.....ndio maaana wasomi wengi sana hawana ajira kutwa wanashinda mitandaoni kuitukana serikali kwa ajili ya stress za maisha....ukiona mtu anaitukana serikali mitandaoni ujue huyo maisha yamemshinda amekataa tamaa kwa uvivu wake
Naomba link ya ule uzi wako wa vipindi tofauti vya makuziUko kipindi cha makuzi unapitia hatua za kujitengeneza kwahiyo usikate tamaa
naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30 yearsNaomba link ya ule uzi wako wa vipindi tofauti vya makuzi
Ushauri wangu. Sikushauri uache Chuo. Maliza,upate cheti. Kumbuka,una miaKa 7Mimi ni kijana umri miaka 21 ,nimemaliza kidato cha sita mwaka jana ila matokeo hayakuwa vizuri nilikosa credit moja kuwa nA kigezo cha kusoma degree.
Hivyo nilijiunga kusoma diploma ya IT chuo kimoja hapa Tanzania japo nilikubali kusoma shingo upande kutokana na msukumo wa ndugu na wazazi maana Mimi nilikata tamaa ya kusoma baada ya matokeo. Nilitamani kujiajiri japo Hakuna mzazi au ndugu aliyebariki mawazo yangu. Hata ndoto yangu kusoma degree ulikuwa kusomea mambo ya biashara au utawala maana ndoto yangu kubwa ni kujiajiri.
Tangu nije hapa chuoni mwaka jana mambo hayaendi masomo magumu nafeli japo sio Sana lakini nasoma kwa kutumia energy kubwa stress haziishi hasa likija swala la ukata wa pesa. Pesa imekuwa mgumu Sana kutoka kwa wazazi kutokana na kipato chao hata majukumu yanayowakabili.
Wazo nililonalo ndugu zangu nataka nijiajiri japo sina mtaji kama cash ila kuna Wazo ninalo nawaza Kusitisha masomo japo sitawaambia wazazi, nataka Ada watakazonitumia ndo uwe mtaji wa biashara ninayotaka kujiajiri. Nataka niende veta wanichongee machine ya kukamua juice ya miwa nataka nianziea hapo nifungue na kimghahawa cha kuuzia watu wa vipato vya chini ila Wazo kuu biashara ninayotaka kufanya ni biashara ya mazao hasa katika mikoa ya mbeya, morogoro, mwanza naleta bidhaa dar pia mungu akisaidia niwe nA mashine kubwa za kusaga maindi na kukoboa napunga.
Naombeni mawazo ndugu zangu nakoelekea kuzuri au ndo nimepoteza mwelekeo namtafuta majuto na laana.
Nakaribisha mawazo yenu na ushauri mnishauri kama mtoto wako au ndugu wa muhimu Kwako. Nimechoka na Maisha ya kutumiwa elfu kumi kila wiki
nakubalibora ufanye biashara mkuu hata ukisoma ajira hamna.....ndio maaana wasomi wengi sana hawana ajira kutwa wanashinda mitandaoni kuitukana serikali kwa ajili ya stress za maisha....ukiona mtu anaitukana serikali mitandaoni ujue huyo maisha yamemshinda amekataa tamaa kwa uvivu wake