Maisha yamepanda bei

Sasa pesa ina thamani ukiwa na elfu kumi uijali , tunasubiri kushushwa bei za bidhaa mbalimbali.
 
Kwa mwendo huu pesa lazima ipande thaman ukiwa na elfu kumi unaijali na vitu vitapungua bei
 
Kwa mwendo huu pesa lazima ipande thaman ukiwa na elfu kumi unaijali na vitu vitapungua bei
hakuna cha kupungua bei ndo kwanza vinapanda unga wa sembe kilo moja ilikuwa 1200 nw ni 1300-1400 dah sasa sijui hii pesa ndo inaenda kufanya ujenz wa bomba au ndege tena yaan sielew
 
Mshikaji mmoja huwa anakuja hapa alikuwa na tumbo kuubwa siku hizi naona linashuka tu nikimwuliza anasema stress,Magu kakaza
 
Anaamin kuishi kama mashetani ndio maendeleo ya nchi....
 
Unishtue nikupitie na bodaboda... kale kavitz nshakapiga bei. Sio kwamba nimeshindwa kukagharamia, bali nakwepa foleni kwa amani na upendo.
Hahahaha umeonaee foleni nayo inasumbua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…