Maisha yamepanda bei

Inawezekana nchi ilikuwa imejaa Mafisadi na Wapigadili.
 
na sie ambao njaa ni ugonjwa sijui tutaishije.
inabidi upangilie hasa, mfano chai unakunywa kati ya mwishoni mwa asubuhi na mwanzo mwa mchana na chakula cha mchana unakula mwishoni mwa mchana na mwanzo wa usiku... japo hiyo milo miwili....
 
inabidi upangilie hasa, mfano chai unakunywa kati ya mwishoni mwa asubuhi na mwanzo mwa mchana na chakula cha mchana unakula mwishoni mwa mchana na mwanzo wa usiku... japo hiyo milo miwili....
dah ratiba ngumu sana hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…