Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 540
- 2,226
Wakuu, nahisi naongea peke yangu au nacheka peke yangu ila sijapata mtu tu wa kuniambia kwa jinsi life lilivonichapa.
Kazi niliyokuwa nayo sina tena, marafiki niliyokuwa na kunywa nao hawapo tena, simu yangu siku nzima saa 24 hakuna hata missed call
.
Nashindwa kupita mtaani, natoka ghetto asubuhi saa 12 narudi usiku sana naogopa vidole mtaani.
Bili ya umeme na maji nimekuwa mdaiwa sugu, bado Kodi ya nyumba
.
Yaani mpaka nimesema, mpenzi wangu yule nilikuwa nawaletea visa vyake nae kaniacha kikatili sana.
Mungu atusaidie vijana tunapitia magumu sana!
Kazi niliyokuwa nayo sina tena, marafiki niliyokuwa na kunywa nao hawapo tena, simu yangu siku nzima saa 24 hakuna hata missed call
.Nashindwa kupita mtaani, natoka ghetto asubuhi saa 12 narudi usiku sana naogopa vidole mtaani.
Bili ya umeme na maji nimekuwa mdaiwa sugu, bado Kodi ya nyumba

.Yaani mpaka nimesema, mpenzi wangu yule nilikuwa nawaletea visa vyake nae kaniacha kikatili sana.
Mungu atusaidie vijana tunapitia magumu sana!