Kwetu_masite
New Member
- May 10, 2025
- 4
- 4
Ongezea na ushirikina.Wapare hapo ndio kitovu chao.
Ubahili ni wa kiwango cha lami
Chakula kikuu ni makande.
Wengi pia ni wasabato
Du si kweli wachawi kuliko kanda ya ziwa?Ongezea na ushirikina.
Moshi ndio karibu kutoka hapoKama hujaoa Ukimkuta Mtoto wa kipare Same oa. Utanishukuru baadae, Vumbi na baridi kali kawaida.
Usiwaze kuhusu kufika dar Gari zote kutoka Nairobi Moshi Arusha zinapita hapo same town..
Mzunguko wa watu ni mdogo wilaya ni ndogo imepooza.. Watu wengi wanaingia na kutoka. Kapige kazi hapo upo mjini sana wikiend utaamua uende Mombasa au Arusha..
Hii ikoje mkuu...pamoja na biashara ya wadada wa kazi za ndani
Kibiashara! Kazi yako inahusiana na uuzaji wa bidhaa za mwajiri wako?Wadau nawasalimu
Ndugu zangu mimi nalitumikia taifa kwa kuwahudumia watanzania wenzangu kwenye moja ya kada yenye kugusa maisha ya kila mtu. Kwenye hili jukwaa siyo mgeni sana
Nimepata transfer ya kwenda ktk wilaya ya Same Kilimanjaro. Kwa nature ya kazi yangu eneo la kufanyia kazi itakuwa Same mjini Ninachohitaji kwenu ndugu ni mnipe angalau machache kuhusu hilo eneo kuhusu
1. Upatikanaji wa huduma za kijamii sana sana upatikanaji wa nyumba za kupanga, huduma za chakula na maji
2. Hali ya biashara kiujumla kwa maana ya hali ya mzunguko wa fedha angalau nipate ufahamu kidogo kwa kuwa biashara zinatofautiana
3. Usafiri wa kutoka eneo moja kwenda jingine ndani ya mji huo kama sina usafiri binafsi. Chombo cha usafiri ninacho nataka kukiacha kwa muda huku nilipo.
4. Mahusiano ya wazawa na watu wa kuja yakoje kwenye kushirikiana kijamii zaidi na kibiashara. Nilikaa moja ya wilaya mikoa ya kanda ya ziwa nilihisi kama nipo nyumbani kabisa nyanda za juu.
Mengine nitayaelewa baada ya kufika lakini ukinigusia hata kwa PM nitashukuru
Bila kuvaa urewedi atanyimwa tunda!Avae Urewedi
Ni Salamu tu Bana...!Bila kuvaa urewedi atanyimwa tunda!
Wadau nawasalimu
Ndugu zangu mimi nalitumikia taifa kwa kuwahudumia watanzania wenzangu kwenye moja ya kada yenye kugusa maisha ya kila mtu. Kwenye hili jukwaa siyo mgeni sana
Nimepata transfer ya kwenda ktk wilaya ya Same Kilimanjaro. Kwa nature ya kazi yangu eneo la kufanyia kazi itakuwa Same mjini Ninachohitaji kwenu ndugu ni mnipe angalau machache kuhusu hilo eneo kuhusu
1. Upatikanaji wa huduma za kijamii sana sana upatikanaji wa nyumba za kupanga, huduma za chakula na maji
2. Hali ya biashara kiujumla kwa maana ya hali ya mzunguko wa fedha angalau nipate ufahamu kidogo kwa kuwa biashara zinatofautiana
3. Usafiri wa kutoka eneo moja kwenda jingine ndani ya mji huo kama sina usafiri binafsi. Chombo cha usafiri ninacho nataka kukiacha kwa muda huku nilipo.
4. Mahusiano ya wazawa na watu wa kuja yakoje kwenye kushirikiana kijamii zaidi na kibiashara. Nilikaa moja ya wilaya mikoa ya kanda ya ziwa nilihisi kama nipo nyumbani kabisa nyanda za juu.
Mengine nitayaelewa baada ya kufika lakini ukinigusia hata kwa PM nitashukuru
Wadda wa kazi i mean kupata wadada wa kazi huku changamoto wazaza hawataki kufanya kazi kama hzi ndo mana nikasema kama kuna mtu anajua ana uhakika wa kuleta au kufanya connection wadada wakafuka huku basi ni poa sanaHii ikoje mkuu...