ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 155
- 184
Una experienceHii nimeiona bhana,tumacho twa ganja hutoπ₯΄
Mkuu ukiona manyoya....Una experience
PoleMkuu ukiona manyoya....
Naomba niishie hapoMkuu ukiona manyoya....
Sio macho ya ganja tu, anaonekana ni mtumiaji wa hali ya juu wa pombe kali na sigara...Hii nimeiona bhana,tumacho twa ganja hutoπ₯΄
π€£π€£π€£ Yaan kawa kama Kachanganyikiwa vileπ₯΄Sio macho ya ganja tu, anaonekana ni mtumiaji wa hali ya juu wa pombe kali na sigara...
Afya yake yake pia haipo sawa hata nuru kwenye uso imetoka ...
Anahitaji rehab, sio kumcheka...π€£π€£π€£ Yaan kawa kama Kachanganyikiwa vileπ₯΄
Mwanamke mpumbavu sana huyo.Anahitaji rehab, sio kumcheka...
π₯ππ Nimesikitika mkuuAnahitaji rehab, sio kumcheka...
Mwanamke yupi huyo mkuu?Mwanamke mpumbavu sana huyo.
Inasikitisha kiukweli....π₯ππ Nimesikitika mkuu
Ooh!πInasikitisha kiukweli....
π€£π€£π€£Lakini mbona Linex ndio yukogo hivyo jamani? Umri nao umesogea angeachana na hizo dreads chafu.