maisha ya wasanii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Maisha ya wasanii wetu nyuma ya pazia

    🧵 TAFAKURI: Maisha ya Wasanii Nyuma ya Pazia – Kuna Nini Kinaendelea? Kuna jambo huwa linanikaa kichwani kila mara ninaposikia habari za wasanii kufariki katika mazingira ya kutatanisha. Sio kwa lengo la kuhukumu, bali kujiuliza tu… je, tunawajua kweli hawa watu tunaowashangilia kila siku...
  2. bro alex

    JamiiForums Tanzania Asma Majed ana uwezo wa kununua gari bila kuhongwa, mbona hamsemi mansion za Mwijaku na Baba Levo?

    Kwa Dunia Tuliopo kutajirika ni easy sana USIWE na uwoga tu, asma juzi alikua na tangazo la crdb marathon ka sikosei, pale analipwa, yule dullah juzi hapa alikuwa na dili na nmb bank wanalipwa mjue, sa kinashindikana nini? James Stephen Donaldson maarufu Mr beast, Darren Watkins maarufu I show...
  3. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Maisha ya wasanii nje ya sanaa

    MAISHA YA WASANII NJE YA SANAA Unaweza kusema sanaa bila ubunifu ni sawa sifuri, maisha ya usanii yanahitaji bunifu zenye athari chanya kwa jamii kwa lengo la kuendelea kukuza majina na kazi zao kwa ujumla. Katika kutafuta athari hizo hupelekea baadhi ya wasanii kujitengenezea utofauti katika...
  4. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Mama wa Rayvany anauza mbogamboga na Mama wa Martha anauza Juice. Maisha ya wasanii ni magumu sana

    Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana . Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja. Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice. This industry is all about shit.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinafichwa sana kwenye maisha ya wasanii wa bongo unachoamini kwa asilimia 100 kipo?

    Kwa mtazamo wangu hivi ni vitu navyoamini vinawekwa siri lakini vipo. Kala Pina alikuwa anamgwaya Dudu baya Mr Nice hakufulia kabisa, Bado pesa anazo si haba za kustaafia muziki Nusu ya wasanii wanavuta weed Wasanii wengi wa bongo wanaishi kwa pesa za mishe nyingine, ni wachache sana...
  6. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Tunda na Ndaro hawaendani hata kidogo, Tunda hajui thamani yake

    Mpaka sasa sijaamini na sitaki kuamini kama mrembo Tunda ana date na Ndaro. Ikiwa kama kweli wana date, basi hii ndio couple mbaya zaidi kuwahi kutokea kwa watu maarufu hapa bongo. Kwangu mimi, hii couple aisee hapana haivutii hata kidogo Ila tusemeni tu ukweli, Tunda hajui thamani ya uzuri...
Back
Top Bottom