Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,841
Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe

Ukienda shule za private ambazo ni vinara wa kuongoza mitihani ya taifa, walimu wao wanapewa mitihani kabla ya kuajiriwa, tena bila marks ya 85 % to above hupati chance ya kuwa ticha fatilia.

Sasa iweje walimu wa serikali tuwe tunazowa tu wengine nimafailure wa secondari ukimpa log iliyoshiba anakwambia nendeni mkadiscuss kumbe kashindwa

Shida ni kwamba serikali ilikosea tangu uhuru kuruhusu aliyefeli ndoafundishe wanafunzi, aliyefeli kafeli tuu ndio maana hata kwenye maisha walimu wote ni makapuku tu

Thread 'Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?' Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

images (13) (14)_1.jpeg
 
Naunga mkono hoja, lakini naona hili swala lianze na walimu wakujitolea.

Naona wanataka kuandaa kichaka cha kujitetea ionekane hawaajiri wengi kutokana wengi waliopo hawana uwezo.

Lakini cha ajabu utakuta wanatoa tangazo la kuwataka wajitolee pasipo kuwa na hiyo mitihani.
 
Muyangu kama una kiasi kidogo cha pesa ukitaka kusubiri kesho utatoa ATM please toa saizi tena shukuru Mungu nimekusanua uzuri Leo walimu wametoka kapa walikuwa wanaingia ATM kila muda kuuliza salio Bank inawaambia insufficient balance lakini bado jioni hii tena wanaingia kuuliza ATM inawaambia waache usumbufu, sasa nenda sahizi ukatoe pesa yako uepuke kesho foleni ya walimu ukienda kesho utajuta.

Hawa watu hawatakagi kwenda Kwa NMB wakala Wala kutumia NMB mkononi wanakwepa makato ya buku tatu tu, saizi wanahaha wanapwipwitwa wanaona siku haisogei Jana na Leo ni ngumu kumeza wanaugulia maumivu ya Moto tumboni kimya kimya

Walimu tafuteni chanzo cha kipato, mshahara huwa hautoshi.
 
Back
Top Bottom