Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,423
- 8,367
Dodoma au?Wamependeza hao, kuna maeneo yana vumbi yaani ikifika saa 12 watoto wote wanafanana na kumtambua mwanao hadi uwaogeshe wawili au watatu wanaofanana na mwanao ili waonekane vizuri[emoji23] [emoji23]
Bila kiboko haogi mtuHapo sasa akiambiwa aende kuoga bado anatia utata anataka kulala hivohivo hahahahaha