Maisha ya uswazi/uswahilini

Maisha ya uswazi/uswahilini

Mto_Ngono

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
686
Reaction score
589
Embu tupeane uzoefu juu ya maisha haya. Muda mwingi nikiyafikiria nayaona matamu na yanaweza kukutengenezea hadithi ndeefu yanye furaha. Kwa mfano ukae mitaa ya tandale, keko, manzese, mchikichini, magomeni, mwananyamala, buguruni na sehemu nyingi zilizochangamka na watu wanajichanganya hatarii. Nakumbuka nilikaa kwenye nyumba flan pale buguruni malapa dah yan pamoja na kero ndani ya nyumba nilipata raha sana kwa yale mauno ya vigodoro ambapo karibia kila baada ya siku 2 lazima mauno nje ya nyumba nilipenda kwa sababu nililiwa najivutia tu ndani nagegeda narudisha nje. Sema kulikuwa na fala mmoja usiku ndo muda wake wa muziki anafungulia kiasi kwamba kulala ni majaaliwa hadi uzime umeme kwenye main switch.

Uswazi safi sana tofauti na kule wanakojifungia au kwa wachoyo..

Embu tupe uzoefu wa maisha yako ya uswazi hapa.
 
Ukiwa huna kitu hupiki na unaishi vzr...huku unaomba mboga kwingine ugali
 
Uswazi nakumbuka kipindi hiko wezi wanaingia ndani wanaiba tv wanasepa nayo.
 
Back
Top Bottom