Maisha ya ubachela ni vituko

Hahaha dah uvivu sio kitu kizuri..
 
Henry keeps telling me he just turned 30
Having dreams of being single forever he’s getting worried And I’m scared too because I’m in the same boat
Good women are rare too, none of them have come close
kama hutojali mkuu naomba uniambie huu ujumbe umeutolea wapi
 
nataman sasa haya maisha niyaage ila huyu bint simwelewi kuna viashiria naviona isije ikawa tabu nikiingia kwenye izo pingu
 
Haya maisha ya ubachela ni raha sana
Yan ukitoka hakuna mtu anaekuulza unaenda wp
Ukirudi hakuna anaekuulza umetoka wapi [emoji56][emoji56][emoji1]
 
Umenikumbusha chuo
 
Haya maisha ya ubachela ni raha sana
Yan ukitoka hakuna mtu anaekuulza unaenda wp
Ukirudi hakuna anaekuulza umetoka wapi [emoji56][emoji56][emoji1]
Kwel kabisa aisee, mambo ya kufuatiliana hakuna kabisa
 
Hapo kwenye hilo la mwisho kama sio nguo nyeupe wala hata haina haja ya kuinusa ili kuhakiki kama inafaa kuvaliwa round ya pili. Unaipiga hivyo hivyo kisha unaipulizia marashi safi kabisa maisha yanaenda kama umeitoa kambani vile.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duuuh
 
Hahahahahaha,,,, nimecheka mpka watu kwenye gali wananishangaa, nakumbuka kipindi tupo chuo wadau wanapika wanalundika vyombo mpaka vinatoa funza kabisa aya mambo yapo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…