Maisha ya South Africa daaah!!

Sehemu yoyote dunia hii, kama hauna shuguri maalumu ya kukuingizia kipato maisha lazima utayaona magumu tu period.

Sio kwamba watu hawana mishe za kufanya,ila sasa hivi mambo yamechange sana tofauti na kitambo

Yaani kazi hiyo hiyo kitambo ulikuwa unaingiza labda 2000R per day,sasa hivi hata hiyo Rand buku hupati,umeshaona?
 
Hapa ndo naelewa ni Kwanini maeneo ya Tandale na Temeke asilimia kubwa ya Vibaka wana mafunzo ya Martial arts na kila jioni hufanya mazoezi makali ya kukimbia.. Ilhali kazi yao inajulikana ni wizi tu!

Haaah haaaah!! hao ni sheeeda piga sana boxing,yaani unakabwa halafu ukijafanya unayaweza unapewa uwanja mtu mbili tu hakuna kuingilia mtu,sasa ole wako uwe mtoto wa mama utapasuka sana!!
 
Hakuna jamii iliyopagawa na mambo ya gangs South kama ma coloured,western cape,port na cape town huko gangs ndio mpango nzima,madogo waki coloured wameshajipindia!!
Walangilangi wanapenda sana mambo ya kigengstar,,,, mtoto wa kilangilangi akitoka jela atazunguuka lokshini ya kwao yote wamuone huku anadunda,, basi hapo kwao atanunuliwa dundo jipya la Jordan na kila sister du hapo atamshobokea,, hawa watu wendawazimu kweli
 

Haaah haaah!! Sema wasipokuwa kwenye ma gangs ni watu flani poa sana
 
Hapa ni nini cha ajabu?
 
Rudini home
Kwani hatutaki kurudi?tatizo wengine tulikuja na mke na watoto, sasa ukipiga simu bongo kwamba unataka kurudi, ndugu na marafiki wanatutisha sana,kwamba bongo maisha magumu sana bora mbaki uko uko. Hapo ndo wanatuchosha, ila nimejifunza kitu, kwa kuwa wanaona akikuomba pesa unamtumia,kwa hiyo wanaona huku tunaishi vzr sana,kumbe tunajibana sana sisi wao wanapoomba msaada. Nimeamua kwa sasa mtu akiomba hela ni sina hela, nna hali mbaya, ili angalau nijikusanye turudi home mwakani Mungu akipenda.
 
Pale Hillbrow balaa sana.....nilishashuhudia jamaa wanapigania viatu na nguo za mtu aliyekuwa anatembea barabarani hana habari ..walipokubaliana ndipo wakaenda kumkaba
 
mnaishi kwa tabu sana huko...nilijionea mitaa ya alexandria, soweto na hillbrow
 
kuna pisi kal sana kule pamoja na Swaziland...yaani kama sijaukwaa mpaka leo basi siukwai tena!
 
Hapa ndo naelewa ni Kwanini maeneo ya Tandale na Temeke asilimia kubwa ya Vibaka wana mafunzo ya Martial arts na kila jioni hufanya mazoezi makali ya kukimbia.. Ilhali kazi yao inajulikana ni wizi tu!
Asilimia kubwa ya Vibaka wa South afya mbovu,wao wanategemea sana mguu wa Kuku wakutulize nao ukileta ubishi!!
 
Karibuni sana nyumbani.
 
Pale Hillbrow balaa sana.....nilishashuhudia jamaa wanapigania viatu na nguo za mtu aliyekuwa anatembea barabarani hana habari ..walipokubaliana ndipo wakaenda kumkaba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…