Hahahahahaha yani wanakupiga mali na makofi juu ya nenda kwa usalama?Mwana hakutaka unyonge kabisaa,maana South kawaida tu kuibiwa vitu vyako then unapigwa makofi mawili matatu ,kisha unaambiwa kimbia haraka sana tusikuone hapa,na kweli unatoka mduki Kali utafikiri wewe ndio mwizi!!
Bongo natamani siku tuwaamshie bodaboda wanaojifanya nchi yao hata kama yeye ndo kakupiga pasi kaanguka wanakuja mob kukujazia nzi na kukuibia. Huwa nataman niwapasue iwe fundisho sema naona itaniletea usumbufu tu wa kusumbuana na polisi japo najua haitofika mbali
Kwa hiyo kwa babu sasa hivi mnakuita Zimbabwe?Watoto wa babu (Mugabe) ni wazimbabwe,wabongo huwa tunawaita hivyo sometime hata kama wenyewe wapo hapo hapo ili wasijue kama tunawaongelea wao !
Hahahahahaha yani wanakupiga mali na makofi juu ya nenda kwa usalama?
Sema mie siwamaindi hao jamaa ubaya wengine wanakuwaga na gun kabisa😅 wangekuwa na bastola wangemmaliza huyo chaliiHaaah haaah South wakabaji wanaogopwa balaaa,wanatamba sana mitaani !!
Kwa hiyo kwa babu sasa hivi mnakuita Zimbabwe?
Sema mie siwamaindi hao jamaa ubaya wengine wanakuwaga na gun kabisa😅 wangekuwa na bastola wangemmaliza huyo chalii
Mleta mada vipi kuhusu ajira za udereva huko?
Nazungumzia gari za mizigo.Kama unazungumzia udereva wa daladala (tax industry) toa kabisa kichwani kwako hiyo kitu,maana huko ndio full kuuwana daily,na wengi wanaofanya kazi hizo ni wazawa na wazimbabwe!!
Je vipiii kuhusu harakat za ufundi magar like mechanical na umeme wa magari haliii ipoje na mazingir yake ya upatikanaji wa pesa mkuuKama unazungumzia udereva wa daladala (tax industry) toa kabisa kichwani kwako hiyo kitu,maana huko ndio full kuuwana daily,na wengi wanaofanya kazi hizo ni wazawa na wazimbabwe!!
Sasa mnakupendea nini au nyie ndio wezi international .Mwana hakutaka unyonge kabisaa,maana South kawaida tu kuibiwa vitu vyako then unapigwa makofi mawili matatu ,kisha unaambiwa kimbia haraka sana tusikuone hapa,na kweli unatoka mduki Kali utafikiri wewe ndio mwizi!!
Sasa mnakupendea nini au nyie ndio wezi international .
Nazungumzia gari za mizigo.
Na kuoperator excavator
natamani sana nije kutembea huko SA, ushauri wako tafadhali
natamani sana nije kutembea huko SA, ushauri wako tafadhali