Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,287
- 46,017
Sasa hapo shule za kiislam zinaingiaje kiongozi au huupendi uislam basi unauhusisha na chochote kibaya??Uwezo wa wazazi

Sasa hapo shule za kiislam zinaingiaje kiongozi au huupendi uislam basi unauhusisha na chochote ki
labda nimeandika vibaya kwa mtazamo wako. lSasa hapo shule za kiislam zinaingiaje kiongozi au huupendi uislam basi unauhusisha na chochote kibaya??
Siuchukii uislamu. nimeandika experience yangu na wanafunzi hao watatu.Aiseee wasiokua waislamu mbona mna chuki za ajabu ajabu na Uislamu?
Halafu shule zao zikfanya vibaya wanasema serikali inapendelea shule za kikristo, halafu waislamu wasipoteuliwa wanasema kuna upendeleo kwa wakristo, halafu wakiona viongozi wakubwa ni wakristo wanasema nchi hii imejengwa juu ya mfumo wa kikristo.Nimepata wasaa wakupiga story na wanafunzi watatu wenye rika moja, wa shule moja ya dini ya kiislamu, Nimestaajabu sana namna wanavyoishi. Nisijue kama wanapitia magumu au wanafunzwa maisha.
shule hii wanafunzi wanajitegemea upande wa chakula Tu, ila makazi ya kulala yapo.
mwanafunzi#1 alisema anapewa 10000 kwa mwezi.
mwanafunzi#2 alisema anapewa 5000 kwa wiki.
mwanafunzi#3 alisema yeye anakuja na kuondoka hapa shuleni. na ni kweli maana hata hakuendelea kukaa na sisi kupiga stori akaondoka. akaniacha na wenzake wawili...
Muda mchache nilioongea nae story za kawaida tu, alikua hana utulivu kama wenzake, alikua anaruka ruka kila mahali. alikua hana hekima ya kuzungumza pia. mara kadhaa alikua akikosolewa na hao wenzake wawili.
So mwisho wa siku nilibaki na wenzake wawili. ndipo nikaanza kupiga nao story kuhusu maisha ya shuleni hapo.
Pesa wanazo pewa zikiisha, na hua haziishi mapema kwasabab ni ndogo sana so wanajitahidi kuzitunza sana. 5000 kwa wiki na 10000 kwa mwezi si hela ya kutosha kwaajili ya matumizi ya chakula hata kwa mtoto mdogo.
wanaweza kukaa siku mbili bila kula kwasababu pesa zinakua zimewaishia.
Katika hali hio wanalazimika kuomba kwa wanafunzi wenzao chakula, kuna muda hupeana kuna muda hunyimana.
Mwenye kingi analzimika kugawana na wenzake, mwenye hana, analazimika kuomba kwa mwenye nacho.
Wanafunzi hao wawili waliongelea swala la kujishusha ili kuomba, na kujinyima ukiwa nacho ili ukiwa huna uombe, na upewe. sasa kwa mtoto mdogo kuongelea swala la kua na dhiki hio kwa level hio ilinistaajibisha.
ikumbukwe hii sio shule ya elimu ya sekula, ni shule ya dini.
sasa sijui HEKIMA ilio nyuma ya maisha haya ya shule za dini za kiislamu. na sijui kama ni shule hii tu au shule zote za dini kiislamu.
Acha uongoSiuchukii uislamu. nimeandika experience yangu na wanafunzi hao watatu.
Shule za kiislamu au za BAKWATA?Nimepata wasaa wakupiga story na wanafunzi watatu wenye rika moja, wa shule moja ya dini ya kiislamu, Nimestaajabu sana namna wanavyoishi. Nisijue kama wanapitia magumu au wanafunzwa maisha.
shule hii wanafunzi wanajitegemea upande wa chakula Tu, ila makazi ya kulala yapo.
mwanafunzi#1 alisema anapewa 10000 kwa mwezi.
mwanafunzi#2 alisema anapewa 5000 kwa wiki.
mwanafunzi#3 alisema yeye anakuja na kuondoka hapa shuleni. na ni kweli maana hata hakuendelea kukaa na sisi kupiga stori akaondoka. akaniacha na wenzake wawili...
Muda mchache nilioongea nae story za kawaida tu, alikua hana utulivu kama wenzake, alikua anaruka ruka kila mahali. alikua hana hekima ya kuzungumza pia. mara kadhaa alikua akikosolewa na hao wenzake wawili.
So mwisho wa siku nilibaki na wenzake wawili. ndipo nikaanza kupiga nao story kuhusu maisha ya shuleni hapo.
Pesa wanazo pewa zikiisha, na hua haziishi mapema kwasabab ni ndogo sana so wanajitahidi kuzitunza sana. 5000 kwa wiki na 10000 kwa mwezi si hela ya kutosha kwaajili ya matumizi ya chakula hata kwa mtoto mdogo.
wanaweza kukaa siku mbili bila kula kwasababu pesa zinakua zimewaishia.
Katika hali hio wanalazimika kuomba kwa wanafunzi wenzao chakula, kuna muda hupeana kuna muda hunyimana.
Mwenye kingi analzimika kugawana na wenzake, mwenye hana, analazimika kuomba kwa mwenye nacho.
Wanafunzi hao wawili waliongelea swala la kujishusha ili kuomba, na kujinyima ukiwa nacho ili ukiwa huna uombe, na upewe. sasa kwa mtoto mdogo kuongelea swala la kua na dhiki hio kwa level hio ilinistaajibisha.
ikumbukwe hii sio shule ya elimu ya sekula, ni shule ya dini.
sasa sijui HEKIMA ilio nyuma ya maisha haya ya shule za dini za kiislamu. na sijui kama ni shule hii tu au shule zote za dini kiislamu.
Ndio kawaida ya hawa walokole, akili imejaa topeSasa hapo shule za kiislam zinaingiaje kiongozi au huupendi uislam basi unauhusisha na chochote kibaya??
Wanafunzi watatu😂
Sasa nikuweke sawa,kipindi Cha likizo watoto baadhi wanabaki shule tena wanachanga pesa ya chakula au wakibaki hapo shule chakula kujitegemea,(hii inakuwa makubaliano ya wazazi,) hii naona ni shida ya mzazi,
Kuna shule sec inaitwa St,Huruma,tumepeleka last born wetu kwaajili ya tuition,makubaliano yapo hivi,kama mtoto atakula shule kuanzia chai Hadi chakula Cha mchana Ada ni sh,150,000 Kwa mwezi, kama mwanao atasoma tu chakula kujitegemea Ada ni sh,40,000,,,,Sasa hapo maamuzi ni yako mzazi,mwanao akaombeombe au akale bila ya stress.
Mimi ni mkatoliki.Ndio kawaida ya hawa walokole, akili imejaa tope
Hapa mwishoni ulitakiwa umalizie kwa kusema takbiiiir!Nimepata wasaa wakupiga story na wanafunzi watatu wenye rika moja, wa shule moja ya dini ya kiislamu, Nimestaajabu sana namna wanavyoishi. Nisijue kama wanapitia magumu au wanafunzwa maisha.
shule hii wanafunzi wanajitegemea upande wa chakula Tu, ila makazi ya kulala yapo.
mwanafunzi#1 alisema anapewa 10000 kwa mwezi.
mwanafunzi#2 alisema anapewa 5000 kwa wiki.
mwanafunzi#3 alisema yeye anakuja na kuondoka hapa shuleni. na ni kweli maana hata hakuendelea kukaa na sisi kupiga stori akaondoka. akaniacha na wenzake wawili...
Muda mchache nilioongea nae story za kawaida tu, alikua hana utulivu kama wenzake, alikua anaruka ruka kila mahali. alikua hana hekima ya kuzungumza pia. mara kadhaa alikua akikosolewa na hao wenzake wawili.
So mwisho wa siku nilibaki na wenzake wawili. ndipo nikaanza kupiga nao story kuhusu maisha ya shuleni hapo.
Pesa wanazo pewa zikiisha, na hua haziishi mapema kwasabab ni ndogo sana so wanajitahidi kuzitunza sana. 5000 kwa wiki na 10000 kwa mwezi si hela ya kutosha kwaajili ya matumizi ya chakula hata kwa mtoto mdogo.
wanaweza kukaa siku mbili bila kula kwasababu pesa zinakua zimewaishia.
Katika hali hio wanalazimika kuomba kwa wanafunzi wenzao chakula, kuna muda hupeana kuna muda hunyimana.
Mwenye kingi analzimika kugawana na wenzake, mwenye hana, analazimika kuomba kwa mwenye nacho.
Wanafunzi hao wawili waliongelea swala la kujishusha ili kuomba, na kujinyima ukiwa nacho ili ukiwa huna uombe, na upewe. sasa kwa mtoto mdogo kuongelea swala la kua na dhiki hio kwa level hio ilinistaajibisha.
ikumbukwe hii sio shule ya elimu ya sekula, ni shule ya dini.
sasa sijui HEKIMA ilio nyuma ya maisha haya ya shule za dini za kiislamu. na sijui kama ni shule hii tu au shule zote za dini kiislamu.
Mie mwenyewe ni muislamu,na hicho nilichokiandika nimeona Kwa wakatoliki,tena nipo kwenye chimbuko la ukatoliki ndaki.Mimi ni mkatoliki.
Lakini Hili nimeliona kwenye shule ya Dini ya kiislamu. Kwenye shule za Dini ukatoliki ni tofauti, Ada ni kubwa ya kutosha kumpikia Kila mwanafunzi Milo mitatu.
Shule za kufundsha Dini ziko ya kiislamu nyingi hawalipii so uwezo wa kipato cha mzazi Ndio utasababisha mtoto Aishi Kwa dhiki au afueni.
Kwa shule nilizozitembelea nyingi zipo hvyo. Na hapa naongelea vyuo vya kidini na Sito shule za kutuo elimu ya circular.
Yaani mtoa mada ni mtu punguani usiyeweza kuchambua hata mchele ukajua chuya na mchele safi. Umeshasema shule haitoi huduma ya chakula shuleni, wanafunzi hawana pesa ya kula...hapo shida ni shule ai wazazi wa hao wanafunzi?Nimepata wasaa wakupiga story na wanafunzi watatu wenye rika moja, wa shule moja ya dini ya kiislamu, Nimestaajabu sana namna wanavyoishi. Nisijue kama wanapitia magumu au wanafunzwa maisha.
shule hii wanafunzi wanajitegemea upande wa chakula Tu, ila makazi ya kulala yapo.
mwanafunzi#1 alisema anapewa 10000 kwa mwezi.
mwanafunzi#2 alisema anapewa 5000 kwa wiki.
mwanafunzi#3 alisema yeye anakuja na kuondoka hapa shuleni. na ni kweli maana hata hakuendelea kukaa na sisi kupiga stori akaondoka. akaniacha na wenzake wawili...
Muda mchache nilioongea nae story za kawaida tu, alikua hana utulivu kama wenzake, alikua anaruka ruka kila mahali. alikua hana hekima ya kuzungumza pia. mara kadhaa alikua akikosolewa na hao wenzake wawili.
So mwisho wa siku nilibaki na wenzake wawili. ndipo nikaanza kupiga nao story kuhusu maisha ya shuleni hapo.
Pesa wanazo pewa zikiisha, na hua haziishi mapema kwasabab ni ndogo sana so wanajitahidi kuzitunza sana. 5000 kwa wiki na 10000 kwa mwezi si hela ya kutosha kwaajili ya matumizi ya chakula hata kwa mtoto mdogo.
wanaweza kukaa siku mbili bila kula kwasababu pesa zinakua zimewaishia.
Katika hali hio wanalazimika kuomba kwa wanafunzi wenzao chakula, kuna muda hupeana kuna muda hunyimana.
Mwenye kingi analzimika kugawana na wenzake, mwenye hana, analazimika kuomba kwa mwenye nacho.
Wanafunzi hao wawili waliongelea swala la kujishusha ili kuomba, na kujinyima ukiwa nacho ili ukiwa huna uombe, na upewe. sasa kwa mtoto mdogo kuongelea swala la kua na dhiki hio kwa level hio ilinistaajibisha.
ikumbukwe hii sio shule ya elimu ya sekula, ni shule ya dini.
sasa sijui HEKIMA ilio nyuma ya maisha haya ya shule za dini za kiislamu. na sijui kama ni shule hii tu au shule zote za dini kiislamu.
Infact nmependa wanavyo ishi, wametNdio kawaida ya hawa walokole, akili imejaa tope
Nimegusa ardhi hatar kuongelea uislamu. Lkn sina chuki yyte juu ya uislamu.Yaani mtoa mada ni mtu punguani usiyeweza kuchambua hata mchele ukajua chuya na mchele safi. Umeshasema shule haitoi huduma ya chakula shuleni, wanafunzi hawana pesa ya kula...hapo shida ni shule ai wazazi wa hao wanafunzi?
Ulivyompumbavu zaidi unaamua kusema ni matatizo ya shule za Kiislam. Fikra yako dhidi ya Uislam ni nini?
Pumbavu.