Maisha ya sasa hivi

Michepuko ndio dili njia kuu ziachie treni mana hadi roli zinachepuka siku hizi
 
u know what mbebez 'taiti' nakuchukia kinyama you know!
Unakuwa kama janajike kahaba la bara la giza you know!
Kazi kushadadia nyuzi za wanaume kila wakati you know!!
Ipo siku utaliwa jicho you know!!

Bora umwambie wewe !!kaniboa
 
Mie ninavyoona life ya sasa hivi,,
Ukipata mwanaume/mwanamke anaekupenda kwa dhati,akakuheshimu,akakutunza hata kama ana migegedo mingine we kaa tuliza mshono uache maisha yaendelee coz ukosema utafute wa peke yako utaachwa/utaachika daily!
Ama uongo

Au ndio ule msemo kwamba kitu kizuri kula na mwenzio!
 
Si kweli, hakuna kitu inauma hapa duniani kama ukijua unachapiwa au anachapa wengine zaidi yako!!!!
 
awe na migegedo mingine na bado nitulie. kisa cha kuletewa magonjwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…