Maisha ya Rugemalira mahabusu Segerea

Maisha ya Rugemalira mahabusu Segerea

hadi leo sielewi na nashangaa kosa la huyu baba ni lipi!
Fedha ni serikali walifanya mgawanyo!
wakamwitia haki yake, singasinga yake na viongozi kadhaa wa serikali wakapiga hela ndefu zao!
Kosa lake lipo wapi?
waliogawanya hizi fedha (maafisa wa serikali) wako nje wanakula shushi!
Mwisho wa ubaya aibu jamani na tumwogope Mungu!
 
Kwenye hizo barua alizomuandikia DPP,sicho kiachotakiwa. Hapo fursa ya kuandika barua za msamaha na kulipa hajaitumia vizuri. Wanasheria wake wamempoteza. Hiyo barua aliyoandika kwa DPP inaenda kisheria zaidi,maana yake anataka kuendelea na kesi.
My take: Bado anayo nafasi aandike barua nyingine aombe msamaha na alipe tu kiasi kinachotakiwa.
1. Hizi hela zinatafutwa tu,ya nini uumie kwa ajili ya pesa?.
2. Bado hata akirudisha trillions kadhaa,nina uhakika bado atabakiwa na trillions zingine kadhaa,pamoja na miradi yake.
3. Yeye umri umeenda sana,kuna haja gani ya kujiumiza kwa ajili ya pesa uwe nazo nyiiiingi ili iweje katika huo umri?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Singasinga kagoma kabisa kuikana IPTL kisheria....ili yeishee.
 
Hahaha ni Tanzania hii hii ndio mtu unakamatwa unafunguliwa kesi,halafu waliokukamata wanaenda kulala, kisha unasota mahabusu na kila ukidai upelekwe mahakamani wanakupeleka,na swaga zao zilezile UPELELEZI HAUJAKAMILIKA, kisha wanarudi kulala.

Hivi ni nani hasa huwa anapeleleza hizi kesi zoote haziishi, na hamalizi upelelezi?!
 
Back
Top Bottom