Miss you baby Mungi....Halafu umesahau kumwambia tulipokutania ukanikopesha.................... hela ulizonikopesha hazijaisha inabidi kesho nisafiri kwenda Ngorongoro, nikitoka Ngorongoro naelekea Karatu halafu Haydom......... Narudi tarehe 30 Nov.
Imekula kwako manake Lily Flower anajua sikopi hahaaaaaaaaaaaaaa
Mwambie tulikutana wapi na sa ngapi nikakupa nauli majuzi lol!Lily Flower hayo ni majungu squad at work........................ kama vipi tumpige saundi sweetlady atupatie ATM yake na password
Preta kwenu pamenivutia kiukwelii ukwelii!!
Preta akiwa kaanza Maisha Huko Yaeda hapo pichani akiwa na wanawe akiwazoesha maisha ya Bush...
Nikiripoti kutoka Karatu....... mimi Ni Georgeeeeeeeeeee Maratooooooooooo waaaa Aiiiiiiiiiiiiiiiiii Tiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Viiiiiiiiiiiiiiiiiii
Miss you baby Mungi....
Ndio alikopa hiyo siku uliyomuona mwaya, afu sahivi nikimpigia wala hapokei lol.
Hahahaha! Unamwambia waulize manesi lol!sweetlady yaombee yatokee kwa jirani aise yasikukute maana hapo huna simu huna hata mawasiliano ya kuomba msaada utajilengesha wapi na hapo sasa unajikuta umezindukia hospital mkeo anakuja anakuuliza nguo ziko wapi unajiteteaje
Khaaa! Yanamuhusuuu??? Mbona mie juzi ukiniomba nauli sikukwambia ukamwambie nitonye?Mwambie Lily Flower kuwa unaniomba nauli
Mh......................
Hamna kwenda!
Preta akiwa kaanza Maisha Huko Yaeda hapo pichani akiwa na wanawe akiwazoesha maisha ya Bush...
Nikiripoti kutoka Karatu....... mimi Ni Georgeeeeeeeeeee Maratooooooooooo waaaa Aiiiiiiiiiiiiiiiiii Tiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Viiiiiiiiiiiiiiiiiii
Nenda yaeda juu lolAlafu badala yake niende wapi?