Maisha ya Preta Yaeda Chini

Subiri nape akipita hapo kwenu umwagize, yeye ndie anajua pa kuzipata hizo nyama!

Nakusalimia Lily Flower, hivi Mungi bado hajarudi? Nilimkopesha nauli kwa makubaliano anilipe akirejea jijini!

Sijambo sweetlady si unaona unavyoachwa mataa Babe Mungi yuko mahali katulia tuli.

Hapo juu kwenye red simfahamu huyo mtu eti ni nani? Kwenye bluu ni majungu squad ngoja Mungi aje akanushe.
 
Last edited by a moderator:
Sijambo sweetlady si unaona unavyoachwa mataa Babe Mungi yuko mahali katulia tuli.

Hapo juu kwenye red simfahamu huyo mtu eti ni nani? Kwenye bluu ni majungu squad ngoja Mungi aje akanushe.
Una uhakika kuwa ni majungu squad Lily Flower? ...huyo kwenye red muulize PakaJimmy atakuelekeza pa kumpata!


Nafurahi kusikia hujambo dia!
 
Last edited by a moderator:
Preta mbona hicho kijiji ni kama kimandorosi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…