ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,714
- 2,670
dah mwenyew nimeanza upenda huo wimbo baada kumuona piere anaucheza aiseee..Umaarufu ameupata kutokana kucheza muziki hasa WA WCB na kuchekesha watu kwani uwa ameshakunywa, binafsi jamaa anavutia watu wengi kwenye kuchekesha , kingine huyu mshikaji ni dalali , kingine Ile ni kama ni marketing strategy ( promotion) ya products mbalimbali kwani uangaliwa na watu wengi , mi binafsi nimeujua vizuri wimbo WA fire waist kupitia huyu jamaa
Aloo Twaha amepata ntoto njinga sana [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], halafu dogo anatambua kabisa kuwa babake kapata hasara kwa kumzaa yeye.
Liquid firenilichogundua watu wengi wa jf wana wivu kinyama, yani kuna watu wanapiga harakatiusiku na mchana ila hawatoboi lakini wanashangaa bwana Pierre katoboa kimasikhara.
wanaanza mara oooh jamaa dishi limeyumba mara oooh watanzania waapay attention kwa vitu vya kijinga. Inabidi muelewe maisha hayana formula acha kila mtu atoke kwa staili yake muache bwana pierre ale maisha.
EVERYBODY SEIYEEEEEEEE!!
AAAH MAMAAAA NAKUFAAA
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ufupi
Kwani umri gani rasni wa mtu kuoa na ukianiambia huo umri pia uniambie ni nani aliyeweka iyo age limit ya mtu kuoa. Mpaka useme kuwa uliposikia akisema 45years yeye bado ni mtoto wewe ukadhani na kumuona moja kwa moja kuwa haziko sawa kichwani mwakeKajamaa upstairs zitakuwa hasi na chanya zimeingiliana, kuna siku anahojiwa akaulizwa umeoa akajibu bado umri ukifika nitaoa. Mtangazaji akamuuliza unaumri gani akasema kama 45 hivi nakumbuka, hapo nika'conclude hayupo sawa.
Mheshimiwa naona tuko fani moja ingawa nimekuzidi bar moja. Sijawahi kukuona humu mzee
Isi okeeeee.Say yeeeee! Its okey,
Mh.🙆🙆
ya kwake kaitoa wapi wakati yeye kaikutaThey are just using him...anapenda ulabu basi sasa hivi angekuwa na mchuzi wa nguzi …..kama angesajili misemo yake…..
"its okeyyyyy"
"FIRE LIQUID..TIPS...NK
Wabongo na itikadi za kuoa na kuolewa,upumbavu sana hayo ni maamuzi ya mtuMbona ruge kafa na 49yrs kwahyo nae kichwa kuna mawimbi ya ziwa Tanganyika?kuoa au kuolewa ni maamuz ya mtu
Wakifuatilia ya kupanda na kushuka kwa dollar na shilingi watakufa kama upupu,bora wamcheck Athumannnnn tajiriii na Lili utabaki kuwa juuHivi huyu unpopular wake ni huko kulewa na kusema liquid?Watanzania wanapenda kufuatilia mambo ya kipumbavu. Huyu sijawahi angalia hata interview yake moja.